mkamandume
Senior Member
- Dec 31, 2016
- 116
- 120
Yapata Kama mwezi mmoja toka viongozi ya Chama cha Ualimu Tanzania kutolea povu serikali wakidai kulipwa madai yao kinyume cha hapo wangetangaza mgomo nchi nzima! Lakini mpaka leo kimya hakuna mgomo wa vuguvugu la mgomo.
Kutokuwepo kwa mgomo huo ni baada ya mwenye nyumba kuwapiga bit viongozi hao akidai atawatumbua huko huko walipo kwani na wao walikuwa wapiga dili.
Kwa sababu hiyo ndiyo maana mpaka hii leo husikii kiongozi yeyote wa chama kuzungumzia madai ya walimu. " Unataka kukimbia bila break what do you expect" (2017). .
Naomba kuwasilisha.