Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Siku zikizidi kusonga na kukiwa kumebakia chini ya wiki mbili kufikia Septemba Mosi, siku ambayo Viongozi wa chadema wameahidi kufanya Mkutano mkubwa nchi nzima vyovyote vile iwavyo, Viongozi hao wanazidi kuchanganyikiwa na hawajui watawaambia wafuasi wao nini tena, kwa maana ukweli ni kwamba Septemba Mosi hakuna kitakachotokea ... kama kawaida yao ni uongo in action!