Viongozi wa Chadema washindwa kujitetea mahakama ya Kisutu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,918
141,882
Viongozi wa chadema leo wameshindwa kuanza kujitetea katika tuhuma zinazowakabili baada ya Mawakili wao kuwa na mashauri mengine huko Mahakama kuu.

Hakimu anayesikiliza kesi hiyo ameihairisha hadi Sept 24 ambapo vigogo hao wa chadema wataanza kutoa utetezi wao.

Source ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
 
miaka minne ya vita dhidi ya ufisadi hakuna fisadi yeyote aliyefungwa... ccm ni ileile hata wakiweka jiwe la msingi wanasema mradi umekamilika.
jana kwenye taarifa ya habari ilioneshwa kwamba watoto wanajisaidia vichakani. huku wapuuzi wakishangilia MIDEGE
 
Heading ya kipuuzi kweli! Eti washindwa kujitetea? Unakimbilia kuanzisha threads lakini uwezo wako katika kujenga hoja ni kichaa kitupu
 
Hao viongozi wajiandae kisaikolojia wajiandae kuchezea miaka.hapo lengo wasi concentrate kisiasa ili ccm ipete. Rai yangu viongozi wa chadema wasio Na kesi wajipange kueneza chama chao
 
Viongozi wa chadema leo wameshindwa kuanza kujitetea katika tuhuma zinazowakabili baada ya Mawakili wao kuwa na mashauri mengine huko Mahakama kuu.

Hakimu anayesikiliza kesi hiyo ameihairisha hadi Sept 24 ambapo vigogo hao wa chadema wataanza kutoa utetezi wao.

Source ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
Hukumu yao itatoka 2021...tumeshasema.
 
miaka minne ya vita dhidi ya ufisadi hakuna fisadi yeyote aliyefungwa... ccm ni ileile hata wakiweka jiwe la msingi wanasema mradi umekamilika.
jana kwenye taarifa ya habari ilioneshwa kwamba watoto wanajisaidia vichakani. huku wapuuzi wakishangilia MIDEGE
Cc:Wakudadavua
Cc:Magonjwa Mtambuka
 
Kwa kiongozi yeyote wa upinzani wa kweli kufungwa kwake ni jambo la kawaida sana hivyo hakuna ajabu viongozi wa cdm kufungwa.
Hao viongozi wajiandae kisaikolojia wajiandae kuchezea miaka.hapo lengo wasi concentrate kisiasa ili ccm ipete. Rai yangu viongozi wa chadema wasio Na kesi wajipange kueneza chama chao
 
Ni punguani na waokotwa majalalani pekee wanaoweza kusifia upumbavu wa jiwe.OVER

Back
Top Bottom