Tuache ushabiki, katika uchaguzi wa mwaka huu ni vigumu sana kuchakachua matokeo, labda kwa kuwahonga mawakala. Kila kituo kina wakala, baada ya kuhesabu matokeo hujazwa na kila wakala husaini na kupewa nakala ya fomu ya matokeo. Matokeo yakiwa tofauti na nakala aliyopewa wakala, kisheria matokeo hayo ni batili. sasa utachakachuaje hapo. Tuache ushabiki wa kisiasa, unaweza kuiangamiza nchi yetu. Tudai haki kwa demokrasia. Kama chama fulani kimeshinda, wacheni kiongoze. Ndio Demokrasia. Jambo la msingi la kufanya ni kujipanga ili na hiki kilichoshindwa kishinde katika uchaguzi ujao. kama kina sera nzuri kiwaelimishe wananchi hadi wakikubali na wakipe ushindi. Otherwise tunaweza kuipeleka nchi yetu kubaya

Kaanzieni Jangwani au pale stesheni:smile-big:
Wakuu tuache kuhamasishana kufanya mambo ambayo yataipeleka nchi katika machufuko. It doesnt matter whether wamechakachua or not, so far, hayawezi kubadilika. Sanasana hapo watu kadhaa watapoteza maisha, na Kikwete ataendelea kuwa Rais, waliokufa itakuwa imekula kwao. Sasa it doesnt help. Lets be generous tunapofanya maamuzi magumu kama haya. Hivi kuna fahari gani tuingie kwenye machafuko kama ya Kenya halafu at the end of the day, Slaa awe waziri mkuu wakati watanzania elfu kadhaa wapo kaburini? Tuweni waungwana wakuu. Mshaurini Slaa atulize mzuka kuokoa maisha ya watanzania wanaoweza kufa pasipo hatia.
Watu wanakufa kwa ajili ya wengine ndiyo maana kuna siku ya mashujaa, natamani haya maneno ungemwambia Mkwawa wakati anakutetea wewe toka kwa wajerumani kuwa alipokufa ilikuwa imekula kwake shame on you x2.Wakuu tuache kuhamasishana kufanya mambo ambayo yataipeleka nchi katika machufuko. It doesnt matter whether wamechakachua or not, so far, hayawezi kubadilika. Sanasana hapo watu kadhaa watapoteza maisha, na Kikwete ataendelea kuwa Rais, waliokufa itakuwa imekula kwao. Sasa it doesnt help. Lets be generous tunapofanya maamuzi magumu kama haya. Hivi kuna fahari gani tuingie kwenye machafuko kama ya Kenya halafu at the end of the day, Slaa awe waziri mkuu wakati watanzania elfu kadhaa wapo kaburini? Tuweni waungwana wakuu. Mshaurini Slaa atulize mzuka kuokoa maisha ya watanzania wanaoweza kufa pasipo hatia.
Watu wanakufa kwa ajili ya wengine ndiyo maana kuna siku ya mashujaa, natamani haya maneno ungemwambia Mkwawa wakati anakutetea wewe toka kwa wajerumani kuwa alipokufa ilikuwa imekula kwake shame on you x2.
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma
Matokeo Tunduru Kaskazini
Kikwete amepata kura 22,261
Slaa amepata kura 1,965
Lipumba amepata kura 12,935
Watu wanakufa kwa ajili ya wengine ndiyo maana kuna siku ya mashujaa, natamani haya maneno ungemwambia Mkwawa wakati anakutetea wewe toka kwa wajerumani kuwa alipokufa ilikuwa imekula kwake shame on you x2.
Tuache ushabiki, katika uchaguzi wa mwaka huu ni vigumu sana kuchakachua matokeo, labda kwa kuwahonga mawakala. Kila kituo kina wakala, baada ya kuhesabu matokeo hujazwa na kila wakala husaini na kupewa nakala ya fomu ya matokeo. Matokeo yakiwa tofauti na nakala aliyopewa wakala, kisheria matokeo hayo ni batili. sasa utachakachuaje hapo. Tuache ushabiki wa kisiasa, unaweza kuiangamiza nchi yetu. Tudai haki kwa demokrasia. Kama chama fulani kimeshinda, wacheni kiongoze. Ndio Demokrasia. Jambo la msingi la kufanya ni kujipanga ili na hiki kilichoshindwa kishinde katika uchaguzi ujao. kama kina sera nzuri kiwaelimishe wananchi hadi wakikubali na wakipe ushindi. Otherwise tunaweza kuipeleka nchi yetu kubaya
tuache ushabiki, katika uchaguzi wa mwaka huu ni vigumu sana kuchakachua matokeo, labda kwa kuwahonga mawakala. Kila kituo kina wakala, baada ya kuhesabu matokeo hujazwa na kila wakala husaini na kupewa nakala ya fomu ya matokeo. Matokeo yakiwa tofauti na nakala aliyopewa wakala, kisheria matokeo hayo ni batili. Sasa utachakachuaje hapo. Tuache ushabiki wa kisiasa, unaweza kuiangamiza nchi yetu. Tudai haki kwa demokrasia. Kama chama fulani kimeshinda, wacheni kiongoze. Ndio demokrasia. Jambo la msingi la kufanya ni kujipanga ili na hiki kilichoshindwa kishinde katika uchaguzi ujao. Kama kina sera nzuri kiwaelimishe wananchi hadi wakikubali na wakipe ushindi. Otherwise tunaweza kuipeleka nchi yetu kubaya
dhuruma zimezidi, wazalendo tusimame imara, nguvu ya umma itumike, kusubiri miaka mingine mitano ni kutojua wajibu wetu kwa kizazi kijacho, tutaendelea hivi hadi lini??? Dr. Slaa tunasubiri tamko lako, umetufumbua macho, maovu mengi ya viongozi wetu tumeyaona na tunaendelea kushuhudia, nchi na raslimali zake si zao peke yao, ni mali ya umma, wazalendo tujifunge mikando tufuatilie haki zetu. :a s angry: