Wewe kwa vile si mwanachama ndio maana huna. Wanachama wote wanajua namna ya kuwasiliana na viongozi wao bila ya URASIMU
Siyo bure, wewe umeshiba makande ya KijaniNimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.
Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.
Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?
TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?
Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
Mkuu hata kwenye website ya Bunge namba hizo zipo, na kila mbunge namba zake za simu zipo kwenye website ya bunge
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Watu wengine ama kweli mnashangaza! hivi kuna matusi zaidi ya jina unalolitumia hapa?Halafu mkuu mbona jazba nyingi hivyo? mimi nilichoongelea ni hiyo busara ya kutoa namba za watu hadharani na kuwaagiza watu wazitumie kuwatumia sms wahusika.
Una uhakika gani kama wote waliopata namba hizo watazitumia kulingana na lengo kusudiwa? Hudhani kuwa miongoni mwa waliozipata namba hizo wapo wanaofikiri kwa kuongozwa na viroba kama wewe ambaye unathubutu kuniita mjomba wako mwanamama?
Sina ukaribu wala mawasiliano yoyote na waheshimiwa hao lakini sihitaji kuwa mrithi wa almaruhum sheikh yahya kutabiri kuwa zaidi ya 60% ya smswalizokwisha pokea na watakazopokea zitakuwa za matusi. Hoja kwamba namba zao zipo kwenye website ya bunge haina mashiko kwani tunachojadili hapa ni namba hizo kufanyiwa promotion bila ridhaa ya wahusika si sahihi. Wake up lilefu vee!!
inaonekana uwezo wako mdogo wa kufikiri
Wewe mwenyewe K*M*....kama hao wenzio akina madam na mwenzake.
Hii aproach yenu ya
kutoa namba za simu za spika na naibu wake hadharani bila ridhaa yao,
halafu mnaagiza wapambe wenu wawatukane na kuwashinikiza matwakwa yenu
si kitendo cha kiungwana bali ni cha kihuni, kumbukeni hz ni namba zao
binafsi na si za ofisi,
nyie mliochukua namba bora mkaacha mara moja kuwatukana waheshimiwa
hawa
Hawajaambiwa kuwatukana wamewaagiza wawatumie ujumbe wa kuachia ngazi na pia kumbuka kunavyeo unapokuwa nacho wewe ni zaidi ya mtu binafsi kwani cheo hicho kinafanya maamuzi yanayogusa maisha ya watu na ustawi wa jamii kwa jumla so sio vizuri ukaangaliwa tu. nimeipenda hatua hii maana hakuna hatua nyingine mbadala ni hii tu na haya mambo ya oooh ustaarabu ndio vimetufikisha hapa tulipo.
Hongera Mh Zitto na Chadema kwa Ujumla.
Magamba hoyeeeeeeeeee
Hata ukitukana sibadili, wala siandikwi usoni, hakuna tusi jipya tukana yote unayojisikia bt jua unafanya revision hakuna tusi jipya
Masikini wangu, Shule za Kata hizi, yaani madhara ya shule za kata ndo yalisha anza na yanaendelea kuonekana, Kazi ipo katika nchi hii. Shule za kata mnafundishwa komputa kwenye picha na mnacholewa ubaoni, Internet ndo kabisa, website ni nahau, Internet cafe ni kitenda wili,