nzogolong'iva
Member
- Feb 8, 2013
- 9
- 1
Chilisosi umeibuka na ID mpya. Kweli dhambi ya usaliti ni kali sana. Inafanya watu mnakuwa very unsettled...
busara za mtu hazionekani kwenye mavazi wala sura bali fikra.hawa jamaa wamefikiri katika level yao kulingana na uwezo wao.tusiwalaumu maana mtu hufanya kile anachoweza kulingana na uwezo wake wa kufikiri.Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.
Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.
Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?
TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?
Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
Ukapimwe akili! kwa sababu hujui kuwa akina makinda na Ndugai si tu wanaCCM bali wanaishi kwa kodi za watanzania wote. Ukapimwe akili kwa sababu hujui kuwa ni jambo la kizalendo mawasiliano ya viongozi wote yakapatikana kwa walipa kodi wote!Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.
Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.
Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?
TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?
Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
Mkuu Mwakidondo hajapinga madai ya CDM wala kwa namna yoyote hajamtetea spika na naibu wake ila kahoji kuwekwa hadharani namba zao kwa lengo la kuhamasisha watu wazitumie. Vee uva wimuhonge wiliga umgosi muyago utije mkimama!
Bwana mdogo tunatakiwa kuwekeza katika utekelezaji wa mkakati ambao tuna hakika pasina shaka utatupa matokeo tarajiwa. Kwa akili yako ya kihambule unategemea kweli sms nyingi za hekima na zisizo za hekima kutoka kwa wafuasi wa CDM zitaweza kuwabadili akina Makinda waanze kufikiri na kutenda kwa mujibu wa maono yako. Hofu yangu hii approach inaweza kuwafanya wawe na kiburi kwani nao watapata watakaowaunga mkono kwa kuamini wapendwa wao wanasakamwa bure. Naamini CDM kuna vichwa ambavyo bado havijawa spoilt kama chako wanaoweza kuja na mikakati mujarabu ya ku-address hicho kinacholalamikiwa kuliko kuhimiza hiki ninachokiona kama mob justice.
Suala sio kwamba namba ya mtu inapatikana wapi; namba ya kiongozi yeyote lazma iwe inapatikana mahali fulani lakni suala la msingi ni muktadha ambao mtu huitoa namba hiyo.Kwa mfano hawa ndugu zetu chadema wamekuwa wakiwaambia wananchi kwamba hawa polisi mmewaajiri ninyi (kitu ambacho ni sahihi lakini katika mazngira wanayosemea na wanavyosema wanakuwa wanachochea fujo).Kwa mfano kwenye maandamano yaliyokatazwa na polisi wao wakalazmishia halafu katika mazngira ambayo watu wana jazba kali pengine na fujo za hapa na pale wao ndo wanasema "HAWA POLISI MUMEWAAJIRI NYIE WASIWAAMBIE LOLOTE HAWA.NA NAMBA YA IGP HII HAPA NI 0719........ MPIGIENI MUMUAMBIE KABISAAAA! KWAMBA HAWEZI KUWAFANYA LOLOTE KWANI NINYI NDO MUMEMUAJIRI".sasa hapa unakuta hoja ni sahihi lakini mazingira inapotolewa na jinsi inavyotolewa si sahihi.Mkuu hata kwenye website ya Bunge namba hizo zipo, na kila mbunge namba zake za simu zipo kwenye website ya bunge
Acha ushamba wewe namba za simu lini ni kosa kugawa kwani nani kakwambia watu hawana namba za viongozi wa bunge. Watu wana namba za Fast jet sembuse spika walioweka mpaka CV zao na za wabunge wote kwenye website kama hujui kwa sababu ya technofobia tembelea website ya bunge utaona na CV ya kada wenu Lusinde huenda hujui kasomea Chuo cha matusi Ihemi. Siku ingine usikurupuke uulize kwanza ndio upost uzi.Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.
Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.
Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?
TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?
Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
tuvumiliane, r & l ni tatizo kwa sisi tuliotoka kanda ya ziwa.Hata kama kitakuwepo kitakuwa kipengele, sio kipengere...
Halafu mkuu mbona jazba nyingi hivyo? mimi nilichoongelea ni hiyo busara ya kutoa namba za watu hadharani na kuwaagiza watu wazitumie kuwatumia sms wahusika.
Una uhakika gani kama wote waliopata namba hizo watazitumia kulingana na lengo kusudiwa? Hudhani kuwa miongoni mwa waliozipata namba hizo wapo wanaofikiri kwa kuongozwa na viroba kama wewe ambaye unathubutu kuniita mjomba wako mwanamama?
Sina ukaribu wala mawasiliano yoyote na waheshimiwa hao lakini sihitaji kuwa mrithi wa almaruhum sheikh yahya kutabiri kuwa zaidi ya 60% ya smswalizokwisha pokea na watakazopokea zitakuwa za matusi. Hoja kwamba namba zao zipo kwenye website ya bunge haina mashiko kwani tunachojadili hapa ni namba hizo kufanyiwa promotion bila ridhaa ya wahusika si sahihi. Wake up lilefu vee!!
Halafu mkuu mbona jazba nyingi hivyo? mimi nilichoongelea ni hiyo busara ya kutoa namba za watu hadharani na kuwaagiza watu wazitumie kuwatumia sms wahusika.
Una uhakika gani kama wote waliopata namba hizo watazitumia kulingana na lengo kusudiwa? Hudhani kuwa miongoni mwa waliozipata namba hizo wapo wanaofikiri kwa kuongozwa na viroba kama wewe ambaye unathubutu kuniita mjomba wako mwanamama?
Sina ukaribu wala mawasiliano yoyote na waheshimiwa hao lakini sihitaji kuwa mrithi wa almaruhum sheikh yahya kutabiri kuwa zaidi ya 60% ya smswalizokwisha pokea na watakazopokea zitakuwa za matusi. Hoja kwamba namba zao zipo kwenye website ya bunge haina mashiko kwani tunachojadili hapa ni namba hizo kufanyiwa promotion bila ridhaa ya wahusika si sahihi. Wake up lilefu vee!!
Bwana mdogo tunatakiwa kuwekeza katika utekelezaji wa mkakati ambao tuna hakika pasina shaka utatupa matokeo tarajiwa. Kwa akili yako ya kihambule unategemea kweli sms nyingi za hekima na zisizo za hekima kutoka kwa wafuasi wa CDM zitaweza kuwabadili akina Makinda waanze kufikiri na kutenda kwa mujibu wa maono yako. Hofu yangu hii approach inaweza kuwafanya wawe na kiburi kwani nao watapata watakaowaunga mkono kwa kuamini wapendwa wao wanasakamwa bure. Naamini CDM kuna vichwa ambavyo bado havijawa spoilt kama chako wanaoweza kuja na mikakati mujarabu ya ku-address hicho kinacholalamikiwa kuliko kuhimiza hiki ninachokiona kama mob justice.
Mimi si chilisosi wala tomatososi ila ni NZOGOLONG'IVA usinibatize jina lisilokuwa langu. Unashabikia namba za akina Makinda kuwekwa hadharani vipi tukiweka ya mkeo utaridhika? sema niiweke hadharani wana JF wamjulie hali shemeji yao.
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.
Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.
Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?
TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?
Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
Suala sio kwamba namba ya mtu inapatikana wapi; namba ya kiongozi yeyote lazma iwe inapatikana mahali fulani lakni suala la msingi ni muktadha ambao mtu huitoa namba hiyo.Kwa mfano hawa ndugu zetu chadema wamekuwa wakiwaambia wananchi kwamba hawa polisi mmewaajiri ninyi (kitu ambacho ni sahihi lakini katika mazngira wanayosemea na wanavyosema wanakuwa wanachochea fujo).Kwa mfano kwenye maandamano yaliyokatazwa na polisi wao wakalazmishia halafu katika mazngira ambayo watu wana jazba kali pengine na fujo za hapa na pale wao ndo wanasema "HAWA POLISI MUMEWAAJIRI NYIE WASIWAAMBIE LOLOTE HAWA.NA NAMBA YA IGP HII HAPA NI 0719........ MPIGIENI MUMUAMBIE KABISAAAA! KWAMBA HAWEZI KUWAFANYA LOLOTE KWANI NINYI NDO MUMEMUAJIRI".sasa hapa unakuta hoja ni sahihi lakini mazingira inapotolewa na jinsi inavyotolewa si sahihi.
Mbona hakuna usiri katika hili.........na hizo simu zinagharimiwa na kodi zetu
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Anne[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Semamba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Makinda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Njombe Kusini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 941,Dodoma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 754 465226
+255 784 465226[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkuu hata kwenye website ya Bunge namba hizo zipo, na kila mbunge namba zake za simu zipo kwenye website ya bunge