Viongozi wa CHADEMA mtaacha lini vituko?

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,571
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
 
Mapambano nikwakila nyanja hivyo mwakidondo usishangae sana!
 
Last edited by a moderator:
Nakujibu kwa kifupi ni kwamba wametoa number ya spika(kama kiongozi ) na naibu spika(kama kiongozi),hawajatoa number za Anne makinda wala ndungai,mbona raisi alitoa number yake na wala hakutoa number ya kikwete!!!!
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai. Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo? TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi? Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!

hapa ndo umeshusha thamani ya uzi wako mkuu!
contradiction zi nyingi!
 
Uhuni walioufanya Ndugai na Mama yako Makinda umefanya maisha ya watanzania wengi zaidi kuwa magumu. Wamekataa kuwasaidia akina Mama wenzio wa Dar wanaonunua maji hadi buku kwa ndoo, wamezuia hoja ya kuibana NECTA isichakachue matokeo ya mitihani na hivyo kuzidi kuongeza mbumbumbu kwenye jamii. Madhara ya maamuzi ya hao ndugu zako Makinda na Ndugai ni makubwa kuliko hata matusi au usumbufu watakaoupata wa message kutoka CDM.

Open your eyes we mwanamama, sio kwa vile haulipi kodi usionee uchungu jinsi kodi zetu zinavyotafunwa na mashirika ya UMA ambayo Zitto amezuiwa kuyasimamia ili MACCM ya siphon hela za mashirika ya uma kujirudisha madarakani
 
Halafu mkuu mbona jazba nyingi hivyo? mimi nilichoongelea ni hiyo busara ya kutoa namba za watu hadharani na kuwaagiza watu wazitumie kuwatumia sms wahusika.

Una uhakika gani kama wote waliopata namba hizo watazitumia kulingana na lengo kusudiwa? Hudhani kuwa miongoni mwa waliozipata namba hizo wapo wanaofikiri kwa kuongozwa na viroba kama wewe ambaye unathubutu kuniita mjomba wako mwanamama?

Sina ukaribu wala mawasiliano yoyote na waheshimiwa hao lakini sihitaji kuwa mrithi wa almaruhum sheikh yahya kutabiri kuwa zaidi ya 60% ya smswalizokwisha pokea na watakazopokea zitakuwa za matusi. Hoja kwamba namba zao zipo kwenye website ya bunge haina mashiko kwani tunachojadili hapa ni namba hizo kufanyiwa promotion bila ridhaa ya wahusika si sahihi. Wake up lilefu vee!!

Mkuu Mwakidondo hajapinga madai ya CDM wala kwa namna yoyote hajamtetea spika na naibu wake ila kahoji kuwekwa hadharani namba zao kwa lengo la kuhamasisha watu wazitumie. Vee uva wimuhonge wiliga umgosi muyago utije mkimama!

inaonekana uwezo wako mdogo wa kufikiri
 
Halafu mkuu mbona jazba nyingi hivyo? mimi nilichoongelea ni hiyo busara ya kutoa namba za watu hadharani na kuwaagiza watu wazitumie kuwatumia sms wahusika. Una uhakika gani kama wote waliopata namba hizo watazitumia kulingana na lengo kusudiwa? Hudhani kuwa miongoni mwa waliozipata namba hizo wapo wanaofikiri kwa kuongozwa na viroba kama wewe ambaye unathubutu kuniita mjomba wako mwanamama? Sina ukaribu wala mawasiliano yoyote na waheshimiwa hao lakini sihitaji kuwa mrithi wa almaruhum sheikh yahya kutabiri kuwa zaidi ya 60% ya smswalizokwisha pokea na watakazopokea zitakuwa za matusi. Hoja kwamba namba zao zipo kwenye website ya bunge haina mashiko kwani tunachojadili hapa ni namba hizo kufanyiwa promotion bila ridhaa ya wahusika si sahihi. Wake up lilefu vee!!

Uongozi ni JALALA, takataka zote zinatupiwa hapo. Kwa maana hiyo kama wao wamekubali kuwa viongozi maana yake wamekubali kuwa jalala. Ni heri watukanwe na watu wanaodai haki ya kuwa na bunge linalotenda haki bila kujali vyama vya siasa kuliko kusifiwa na mafisadi waliotafuna hii nchi hadi wamesababisha hospitali hazina dawa.

Naunga mkono hoja ya kutoa namba za simu za hawa wabaka demokrasia na kukulaani wewe mnywa viloba vya Malawi aina ya double punch. Mi sikuwa najua kama ni Mwanaume na nilidhani wewe ni mwanamama baada ya kuangalia maudhui ya uzi wako
 
Mkuu Mwakidondo hajapinga madai ya CDM wala kwa namna yoyote hajamtetea spika na naibu wake ila kahoji kuwekwa hadharani namba zao kwa lengo la kuhamasisha watu wazitumie. Vee uva wimuhonge wiliga umgosi muyago utije mkimama!

Chilisosi umeibuka na ID mpya. Kweli dhambi ya usaliti ni kali sana. Inafanya watu mnakuwa very unsettled...
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai. Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo? TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi? Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!

Mbona hakuna usiri katika hili.........na hizo simu zinagharimiwa na kodi zetu

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1268.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Anne[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Semamba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Makinda[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Njombe Kusini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 941,Dodoma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 754 465226
+255 784 465226
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mwakidondo naona umeambukizwa ugonjwa wa kuku unaoitwa Mdondo!!

Akili yako inaonesha ni finyu sana kuchakata mambo haya! Mbona umejichanganya kiasi hicho? Mara useme wafuasi wa CDM wameshauliwa waitukane maana namba zao zimesajiliwa, mwishoni unawalaumu viongozi wa CDM kwa kuwahamasisha wafuasi wao Kuwatumia ujumbe na kuwatukana Viongozi hao!! Sasa tushike lipi?

Umejichanganya Mkuu! Kichwa chako ni cha kufugia nywele kama cha Werema!!
 
TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Hata kama kitakuwepo kitakuwa kipengele, sio kipengere...
 
Bwana mdogo tunatakiwa kuwekeza katika utekelezaji wa mkakati ambao tuna hakika pasina shaka utatupa matokeo tarajiwa. Kwa akili yako ya kihambule unategemea kweli sms nyingi za hekima na zisizo za hekima kutoka kwa wafuasi wa CDM zitaweza kuwabadili akina Makinda waanze kufikiri na kutenda kwa mujibu wa maono yako. Hofu yangu hii approach inaweza kuwafanya wawe na kiburi kwani nao watapata watakaowaunga mkono kwa kuamini wapendwa wao wanasakamwa bure. Naamini CDM kuna vichwa ambavyo bado havijawa spoilt kama chako wanaoweza kuja na mikakati mujarabu ya ku-address hicho kinacholalamikiwa kuliko kuhimiza hiki ninachokiona kama mob justice.
Uongozi ni JALALA, takataka zote zinatupiwa hapo. Kwa maana hiyo kama wao wamekubali kuwa viongozi maana yake wamekubali kuwa jalala. Ni heri watukanwe na watu wanaodai haki ya kuwa na bunge linalotenda haki bila kujali vyama vya siasa kuliko kusifiwa na mafisadi waliotafuna hii nchi hadi wamesababisha hospitali hazina dawa.

Naunga mkono hoja ya kutoa namba za simu za hawa wabaka demokrasia na kukulaani wewe mnywa viloba vya Malawi aina ya double punch. Mi sikuwa najua kama ni Mwanaume na nilidhani wewe ni mwanamama baada ya kuangalia maudhui ya uzi wako
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!

Hayo maswali yako ya kipuuzi kamuulize Nchemba na Wassira usifikire hata siku moja CHADEMA itafanya jambo kwa kukurupuka kama NDUNGAI au MAKINDA
 
mwakidondo wewe ndo hauko katika senses maana hizo namba zipo kwenye tovuti ya bunge muda mrefu ili wananchi wazitumie kuwasiliana na hawa wavunja kanuni, af hiyo Mwa-inatuharibia tunaotoka mby hebu weka jina la kwenu bwana, tusiharibiane
 
Halafu mkuu mbona jazba nyingi hivyo? mimi nilichoongelea ni hiyo busara ya kutoa namba za watu hadharani na kuwaagiza watu wazitumie kuwatumia sms wahusika.

Una uhakika gani kama wote waliopata namba hizo watazitumia kulingana na lengo kusudiwa? Hudhani kuwa miongoni mwa waliozipata namba hizo wapo wanaofikiri kwa kuongozwa na viroba kama wewe ambaye unathubutu kuniita mjomba wako mwanamama?

Sina ukaribu wala mawasiliano yoyote na waheshimiwa hao lakini sihitaji kuwa mrithi wa almaruhum sheikh yahya kutabiri kuwa zaidi ya 60% ya smswalizokwisha pokea na watakazopokea zitakuwa za matusi. Hoja kwamba namba zao zipo kwenye website ya bunge haina mashiko kwani tunachojadili hapa ni namba hizo kufanyiwa promotion bila ridhaa ya wahusika si sahihi. Wake up lilefu vee!!

Sina hakika kama upo u-muelewa!!! Unacho kishangaa ni nini wakati namba zao hata kwenye wavuti wa Bunge zipo??? Alicho kifanya Mh. Zitto ni kuwakumbusha waTanzania kwamba namba zao ni hizi!!! Sasa hapo unacho taka kiwe siri ni nini?? Au hiyo promotion unayo ilalamikia ni kwa Mh. Zitto tu? Na kwa nini usiilaumu ile promotion ya wavuti wa Bunge ambao ni wa kwanza ku-display namba zao???

Kajipange upya ndugu.
 
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.

Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.

Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?

TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?

Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!

Kama walichofanya viongozi wa CDM unakiona ni 'vituko' basi jibu ni jepesi tu, wataacha mara tu Makinda, Ndugai, wabunge wa ccm na serikali watakapoacha 'vioja na mazingaombwe' wanayofanya ndani na nje ya bunge!
 
Back
Top Bottom