dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,534
Kuna wanaChadema wanaishi enzi ya Mkwere.....Kiongozi wa Chadema hata akionge upuuzi wanashangilia kwasasa NO....watu wanataka kazi sio PorojoTunatakiwa tujifunze na Makosa yetu.Tusije fikiria kwa sababu CCM hiki basi na Chadema ni sawa kibaya kikifanyika cha msingi kama mtendaji ni mbovu ni wa kumtumbua tu hakuna njia.