ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,114
- 49,840
Toka Rais Samia ameshika usukani Mwaka 2021, mara nyingi sana kwenye hotuba zake amekuwa akitamka neno Haki. Ni nadra sana akamliza hotuba bila kugusia mambo ya kutenda Haki.
Kwa Afrika hii ni Viongozi wachache sana wenye kujali Kwa Kauli na matendo kama Rais Samia wa Tanzania.
Nimekuona mara kadhaa ukiwataka Polisi watende Hali Hadi kufikia kubadili sheria kwamba mtu asikamatwe kama hakuna ushahidi.
Tumekuona mara kadhaa ukiwataka Majaji watende Haki na ukafila mbali zaidi Kwa kusema walau Wanawake Wana hofu ya Mungu ukawateua wengi kwenye nafasi za maamuzi.
Tumekuona ukiwalipa fidia watu wote ambao waliodhulumiwa kuanzia waliobomolewa Kimara,Waliotomuliwa kazi,waliochukuliwa maeneo Yao Hadi waathirika wa Mafuriko Hanang' Unawahamisha Masai Kwa utu na kiukweli malalamiko ya Serikali kudhulimu Haki kwenye Utawala wako hayapo.
Hongera sana na Mungu akupe maisha marefu.Hata kwenye siasa Chadema ni mashahidi wa ulivyotenda Haki kwao.
View: https://twitter.com/NataliaJohn19/status/1735966913845497874?t=X02DgUVZPXVVnbhBOlC6VQ&s=19
My Take
Nimerudi hewani baada mods kunipa ban kisa eti nilimuita Erythrocyte Mwambukusi 🤣🤣