Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 81,032
- 93,839
Hata maendeleo siyo demokrasia pekeeKati ya nchi za East & Central Africa, Kenya inaweza kuwa ndiyo the leading Nation kwa upande wa kuwa na demokrasia ya hali ya juu..

Makuu usiwe unapoteza kumbukumbu, siku ya uchaguzo wagombea wote wanafanyaga ivovio.
Nyuma ya pazia wanajua wanachofanya, usiwaamini sana wanasiasa. ila inaonekana we mdogo sana kwenye uwanja wa siasa.
Angalia hapo ya Magufuli
Sw mkuuMkuu mbona unaporomosha matusi?
Hapa tunajibizana kwa hoja, hatushindani kwa matusi.......
Matusi tuwaachie wenyewe akina Kibajaj na Mlinga.......
It is very trueEconomics goes paperndicular with democracy !!!! Kenya is the only EAC member who is economically &democratically stable !!!! Wengine 2naigiza 2 !!!! Sasa kama uganda museveni anabadili tarehe yake ya kuzaliwa ili umri umruhusu kugombee 2021 !!! What do u expect
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Trump wakisema hatokubali matiko lakini akashinda. Hilary alisema atakubali matokeo lakini akakataa kumpongeza mshindi hadi Leo anadai alisaidiwa na Warussi. Haya mambo hayana mwana yoyote; Lowassa hadi leo Wamasai aliibiwa kura.Hivi leo huko Kenya wananchi wa Kenya wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, ikiwemo kumchagua Rais wa nchi hiyo atakayedumu kwa kipindi cha miaka 4 hadi mwaka 2021.
Katika uchaguzi huo kuna mchuano mkali sana kati ya Uhuru Kenyatta wa Jubilee na Raila Odinga wa NASA.
Hata hivyo kuna kitu nilichokishuhudia leo ambacho huwa hakitokei huku kwenye uchaguzi wetu huku Tanzania.
Katika hotuba aliyoitoa asubuhi ya leo, Rais anayemaliza muda wake Uhuru Kenyatta alitoa hotuba ya hekima mno alipowahamasisha wakenya wote wenye haki ya kupiga kura wajitokeze kwa wingi kwenye vituo vya kupigia kura na kuwachagua wagombea watakaowaona wanafaa kuliongoza Taifa lao kwa kipindi cha miaka 4 ijayo,na kilichoonyesha kuwa demokrasia ya Kenya imekua sana ni pale Uhuru Kenyatta aliposema kuwa atayapokea kwa mikono miwili matokeo yoyote yatakayopatikana kwenye uchaguzi wa leo, hata kama atakayeshinda ni mgombea toka chama cha NASA, Raila Odinga.
Vile vile nilimsikia pia Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto naye wakati anapiga kura kwenye kituo chake cha kuoigia kura, alipohojiwa na waandishi wa habari naye akasema atayapokea matokeo yoyote ya leo kutokana na matakwa ya wapiga kura wa Kenya, hata kama wananchi watakuwa wameamua kuchagua Muungano wa NASA.
Nasema hizo kauli za wagombea hao 2 kutoka chama kilichoko madarakani hivi sasa, ni lazima ziwe mfano na kuigwa na wenzao wa CCM.
Tulishuhudia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, wagombea wote 2 wa nafasi ya Urais, JPM na mwenzake
Shein wa Zanzibar, walipohojiwa na waandishi wa habari ili kueleza msimamo wao ikiwa watakubali matokeo iwapo watakuwa wameshindwa uchaguzi huo, waligoma kujibu kuwa watakubali matokeo hayo na badala yake wakasema wao ni lazima watashinda!
Tujuavyo ni kuwa watu wawili mnaposhindana ni lazima atapatikana mshindi na mshindwa.
Na vile vile kuna msemo unaosema asiyekubali kushindwa siyo mshindani.
Kwa hiyo kwa kitendo cha wagombea wote 2_kwa tiketi za CCM yule wa Urais wa Jamhuri na yule wa Zanzibar, kugoma kukiri kuwa watayapokea matokeo hata kama ikiwa wao watashindwa ni dhahiri kuwa kumbe CCM huwa wanashinda kwa goli la mkono kwa maana ya kuwa kura zinapokuwa hazijatosha huwa wanalazimisha zitoshe!
Ni vyema kwa mfano ulioonyeshwa leo na wagombea,wa Jubilee, Uhuru Kenyatta na Wiliiam Ruto kwa kutamka hadharani kuwa iwapo watashindwa kwenye uchaguzi wa leo watskabidhi kwa amani kwa viongozi watakaoshinda, mfano huo pia uonyeshwe na viongozi wa CCM watakaosimama kwenye uchaguzi wa 2020, yaani kwa Urais wa Jamhuri ya Tanzania na yule wa Zanzibar wakatamka kabla ya siku ya kupiga kura kuwa matokeo yoyote yatakayotokea watakuwa tayari kuyapokea na watakabidhi kwa amani kwa viongozi watakaokuewa na kupewa riidhaa na wananchi kuliongoza Taifa letu.
with only a comparison with uganda? how about Tanzania's democratic situation? can it be surpassed by that of kenya? tz remains to be the most democratic state in east africaEconomics goes paperndicular with democracy !!!! Kenya is the only EAC member who is economically &democratically stable !!!! Wengine 2naigiza 2 !!!! Sasa kama uganda museveni anabadili tarehe yake ya kuzaliwa ili umri umruhusu kugombee 2021 !!! What do u expect
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ni Kenya peke yake na kwa wasiojua, endapo Uhuru ataibuka mshindi this time, ataburuza kwelikweli hasa wale wanaokwenda kinyume na demokrasia kama kanchi fulani hivi sasa hivi. Kwa demokrasia Kenya inaongozaUpo sahihi kati ya nchi zote 6 ni Kenya pekee.
Hivi uchakachuzi wa IEBC unaweza ukampiku Jecha na ZEC yake?Ndugu kenya inajilikana kwa uchakachuzi, tusije tukaona Uhuru akiapishwa haraka haraka state house, kama alivyo apishwa Mwai Kibaki.
Labda kama unaifahamu kwa juu juuKenya iko mbali sana kidemokrasia na kiuchumi, ni ukweli usiofichika kua: KENYA IS THE ONLY DEMOCRATIC COUNTY IN EAST AFRICA.
Mbinu ya Kenyatta, Ruto na IEBC haijapata kutokea tokea dunia iundwe!Hivi uchakachuzi wa IEBC unaweza ukampiku Jecha na ZEC yake?
Ninauliza tu ili tufanye comparison......
Tanzania is the most Democratic Country in east Africa ever!Ni kweli ni Kenya peke yake na kwa wasiojua, endapo Uhuru ataibuka mshindi this time, ataburuza kwelikweli hasa wale wanaokwenda kinyume na demokrasia kama kanchi fulani hivi sasa hivi. Kwa demokrasia Kenya inaongoza
Mpaka leo Lowasa anajifanya eti hakushindwa uchaguzi, na hata Maalim Seif ni hivyo hivyo.Hivi leo huko Kenya wananchi wa Kenya wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, ikiwemo kumchagua Rais wa nchi hiyo atakayedumu kwa kipindi cha miaka 4 hadi mwaka 2021.
Katika uchaguzi huo kuna mchuano mkali sana kati ya Uhuru Kenyatta wa Jubilee na Raila Odinga wa NASA.
Hata hivyo kuna kitu nilichokishuhudia leo ambacho huwa hakitokei huku kwenye uchaguzi wetu huku Tanzania.
Katika hotuba aliyoitoa asubuhi ya leo, Rais anayemaliza muda wake Uhuru Kenyatta alitoa hotuba ya hekima mno alipowahamasisha wakenya wote wenye haki ya kupiga kura wajitokeze kwa wingi kwenye vituo vya kupigia kura na kuwachagua wagombea watakaowaona wanafaa kuliongoza Taifa lao kwa kipindi cha miaka 4 ijayo,na kilichoonyesha kuwa demokrasia ya Kenya imekua sana ni pale Uhuru Kenyatta aliposema kuwa atayapokea kwa mikono miwili matokeo yoyote yatakayopatikana kwenye uchaguzi wa leo, hata kama atakayeshinda ni mgombea toka chama cha NASA, Raila Odinga.
Vile vile nilimsikia pia Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto naye wakati anapiga kura kwenye kituo chake cha kuoigia kura, alipohojiwa na waandishi wa habari naye akasema atayapokea matokeo yoyote ya leo kutokana na matakwa ya wapiga kura wa Kenya, hata kama wananchi watakuwa wameamua kuchagua Muungano wa NASA.
Nasema hizo kauli za wagombea hao 2 kutoka chama kilichoko madarakani hivi sasa, ni lazima ziwe mfano na kuigwa na wenzao wa CCM.
Tulishuhudia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, wagombea wote 2 wa nafasi ya Urais, JPM na mwenzake
Shein wa Zanzibar, walipohojiwa na waandishi wa habari ili kueleza msimamo wao ikiwa watakubali matokeo iwapo watakuwa wameshindwa uchaguzi huo, waligoma kujibu kuwa watakubali matokeo hayo na badala yake wakasema wao ni lazima watashinda!
Tujuavyo ni kuwa watu wawili mnaposhindana ni lazima atapatikana mshindi na mshindwa.
Na vile vile kuna msemo unaosema asiyekubali kushindwa siyo mshindani.
Kwa hiyo kwa kitendo cha wagombea wote 2_kwa tiketi za CCM yule wa Urais wa Jamhuri na yule wa Zanzibar, kugoma kukiri kuwa watayapokea matokeo hata kama ikiwa wao watashindwa ni dhahiri kuwa kumbe CCM huwa wanashinda kwa goli la mkono kwa maana ya kuwa kura zinapokuwa hazijatosha huwa wanalazimisha zitoshe!
Ni vyema kwa mfano ulioonyeshwa leo na wagombea,wa Jubilee, Uhuru Kenyatta na Wiliiam Ruto kwa kutamka hadharani kuwa iwapo watashindwa kwenye uchaguzi wa leo watskabidhi kwa amani kwa viongozi watakaoshinda, mfano huo pia uonyeshwe na viongozi wa CCM watakaosimama kwenye uchaguzi wa 2020, yaani kwa Urais wa Jamhuri ya Tanzania na yule wa Zanzibar wakatamka kabla ya siku ya kupiga kura kuwa matokeo yoyote yatakayotokea watakuwa tayari kuyapokea na watakabidhi kwa amani kwa viongozi watakaokuewa na kupewa riidhaa na wananchi kuliongoza Taifa letu.
SACCOS yenu ya kichaga imewahi kuamini katika kushindwa?Tunachosema ni kuwa washondanapo wawili ni lazima atajitokeza mshindi na mshindwa.
Sasa ni kwanini CCM huwa haiamini kuwa kuna kushinda na kushindwa?
Kwa hiyo maana yake ni kuwa wao CCM huwa wanategemea goli la mkono katika kupata ushindi wake!
Sijakupata vizuri Mkuu?Asiekubali kushindwa si mshindani" kwan aliekwambia kua CCM walikua wanashindana ni nan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je na CCM yenu imeshawahi kukubali kushindwa?SACCOS yenu ya kichaga imewahi kuamini katika kushindwa?