Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,480
- 30,152
- Thread starter
- #41
Hivi ni lini nanyi Sisiem mliwahi kukubali kushindwa?SACCOS yenu ya kichaga imewahi kuamini katika kushindwa?
Nyinyi huwa mnaamini kuwa chama chenu ni chama dola kwa hiyo itakuwa "miracles" kushindwa kwa kupitia sanduku la kura!
Kwa kuwa mnajua NEC yenu....
Mnajua pia Policcm nao wenu.....
Hata kile Kitengo "mnakimiliki" nyinyi...
Sasa mtawezaje kushindwa?
Kwa kuwa kura zenu zisipotosha mnalazimisha kuzitosheleza........