Viongozi wa CCM wajifunze kwa wenzao wa Jubilee ya Kenya

Makuu usiwe unapoteza kumbukumbu, siku ya uchaguzo wagombea wote wanafanyaga ivovio.
Nyuma ya pazia wanajua wanachofanya, usiwaamini sana wanasiasa. ila inaonekana we mdogo sana kwenye uwanja wa siasa.
Angalia hapo ya Magufuli

Mimi nina kumbukumbu sana ya hayo aliyoyaongea JPM baada ya kupiga kura...

Aliulizwa na mwandishi wa habari ikiwa atayakubali matokeo iwapo atakuwa ameshindwa kwenye uchaguzi huo?

Akagoma kujibu swali hilo!
 
Economics goes paperndicular with democracy !!!! Kenya is the only EAC member who is economically &democratically stable !!!! Wengine 2naigiza 2 !!!! Sasa kama uganda museveni anabadili tarehe yake ya kuzaliwa ili umri umruhusu kugombee 2021 !!! What do u expect

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is very true
 
Hata maendeleo siyo demokrasia pekee
Very true.

Wakenya wanatupita kwa kila kitu...

Kwa maendeleo na hata kwa demokrasia.

Hapa TZ kazi ya watawala wetu ni kupanga mikakati kwa kushirikisha na vyombo vya dola kutaka kuua upinzani!
 
Hivi leo huko Kenya wananchi wa Kenya wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, ikiwemo kumchagua Rais wa nchi hiyo atakayedumu kwa kipindi cha miaka 4 hadi mwaka 2021.

Katika uchaguzi huo kuna mchuano mkali sana kati ya Uhuru Kenyatta wa Jubilee na Raila Odinga wa NASA.

Hata hivyo kuna kitu nilichokishuhudia leo ambacho huwa hakitokei huku kwenye uchaguzi wetu huku Tanzania.

Katika hotuba aliyoitoa asubuhi ya leo, Rais anayemaliza muda wake Uhuru Kenyatta alitoa hotuba ya hekima mno alipowahamasisha wakenya wote wenye haki ya kupiga kura wajitokeze kwa wingi kwenye vituo vya kupigia kura na kuwachagua wagombea watakaowaona wanafaa kuliongoza Taifa lao kwa kipindi cha miaka 4 ijayo,na kilichoonyesha kuwa demokrasia ya Kenya imekua sana ni pale Uhuru Kenyatta aliposema kuwa atayapokea kwa mikono miwili matokeo yoyote yatakayopatikana kwenye uchaguzi wa leo, hata kama atakayeshinda ni mgombea toka chama cha NASA, Raila Odinga.

Vile vile nilimsikia pia Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto naye wakati anapiga kura kwenye kituo chake cha kuoigia kura, alipohojiwa na waandishi wa habari naye akasema atayapokea matokeo yoyote ya leo kutokana na matakwa ya wapiga kura wa Kenya, hata kama wananchi watakuwa wameamua kuchagua Muungano wa NASA.

Nasema hizo kauli za wagombea hao 2 kutoka chama kilichoko madarakani hivi sasa, ni lazima ziwe mfano na kuigwa na wenzao wa CCM.

Tulishuhudia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, wagombea wote 2 wa nafasi ya Urais, JPM na mwenzake
Shein wa Zanzibar, walipohojiwa na waandishi wa habari ili kueleza msimamo wao ikiwa watakubali matokeo iwapo watakuwa wameshindwa uchaguzi huo, waligoma kujibu kuwa watakubali matokeo hayo na badala yake wakasema wao ni lazima watashinda!

Tujuavyo ni kuwa watu wawili mnaposhindana ni lazima atapatikana mshindi na mshindwa.

Na vile vile kuna msemo unaosema asiyekubali kushindwa siyo mshindani.

Kwa hiyo kwa kitendo cha wagombea wote 2_kwa tiketi za CCM yule wa Urais wa Jamhuri na yule wa Zanzibar, kugoma kukiri kuwa watayapokea matokeo hata kama ikiwa wao watashindwa ni dhahiri kuwa kumbe CCM huwa wanashinda kwa goli la mkono kwa maana ya kuwa kura zinapokuwa hazijatosha huwa wanalazimisha zitoshe!

Ni vyema kwa mfano ulioonyeshwa leo na wagombea,wa Jubilee, Uhuru Kenyatta na Wiliiam Ruto kwa kutamka hadharani kuwa iwapo watashindwa kwenye uchaguzi wa leo watskabidhi kwa amani kwa viongozi watakaoshinda, mfano huo pia uonyeshwe na viongozi wa CCM watakaosimama kwenye uchaguzi wa 2020, yaani kwa Urais wa Jamhuri ya Tanzania na yule wa Zanzibar wakatamka kabla ya siku ya kupiga kura kuwa matokeo yoyote yatakayotokea watakuwa tayari kuyapokea na watakabidhi kwa amani kwa viongozi watakaokuewa na kupewa riidhaa na wananchi kuliongoza Taifa letu.
Hata Trump wakisema hatokubali matiko lakini akashinda. Hilary alisema atakubali matokeo lakini akakataa kumpongeza mshindi hadi Leo anadai alisaidiwa na Warussi. Haya mambo hayana mwana yoyote; Lowassa hadi leo Wamasai aliibiwa kura.
 
Economics goes paperndicular with democracy !!!! Kenya is the only EAC member who is economically &democratically stable !!!! Wengine 2naigiza 2 !!!! Sasa kama uganda museveni anabadili tarehe yake ya kuzaliwa ili umri umruhusu kugombee 2021 !!! What do u expect

Sent using Jamii Forums mobile app
with only a comparison with uganda? how about Tanzania's democratic situation? can it be surpassed by that of kenya? tz remains to be the most democratic state in east africa

Ngw'ana Kabula
 
Ndugu kenya inajilikana kwa uchakachuzi, tusije tukaona Uhuru akiapishwa haraka haraka state house, kama alivyo apishwa Mwai Kibaki.
 
Upo sahihi kati ya nchi zote 6 ni Kenya pekee.
Ni kweli ni Kenya peke yake na kwa wasiojua, endapo Uhuru ataibuka mshindi this time, ataburuza kwelikweli hasa wale wanaokwenda kinyume na demokrasia kama kanchi fulani hivi sasa hivi. Kwa demokrasia Kenya inaongoza
 
Ndugu kenya inajilikana kwa uchakachuzi, tusije tukaona Uhuru akiapishwa haraka haraka state house, kama alivyo apishwa Mwai Kibaki.
Hivi uchakachuzi wa IEBC unaweza ukampiku Jecha na ZEC yake?

Ninauliza tu ili tufanye comparison......
 
Ni kweli ni Kenya peke yake na kwa wasiojua, endapo Uhuru ataibuka mshindi this time, ataburuza kwelikweli hasa wale wanaokwenda kinyume na demokrasia kama kanchi fulani hivi sasa hivi. Kwa demokrasia Kenya inaongoza
Tanzania is the most Democratic Country in east Africa ever!
The bad thing is, Tanzania's doesn't recognise this sweet truth because they used to prefer blaming everything and keep only bad memories in their minds.
 
Hivi leo huko Kenya wananchi wa Kenya wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, ikiwemo kumchagua Rais wa nchi hiyo atakayedumu kwa kipindi cha miaka 4 hadi mwaka 2021.

Katika uchaguzi huo kuna mchuano mkali sana kati ya Uhuru Kenyatta wa Jubilee na Raila Odinga wa NASA.

Hata hivyo kuna kitu nilichokishuhudia leo ambacho huwa hakitokei huku kwenye uchaguzi wetu huku Tanzania.

Katika hotuba aliyoitoa asubuhi ya leo, Rais anayemaliza muda wake Uhuru Kenyatta alitoa hotuba ya hekima mno alipowahamasisha wakenya wote wenye haki ya kupiga kura wajitokeze kwa wingi kwenye vituo vya kupigia kura na kuwachagua wagombea watakaowaona wanafaa kuliongoza Taifa lao kwa kipindi cha miaka 4 ijayo,na kilichoonyesha kuwa demokrasia ya Kenya imekua sana ni pale Uhuru Kenyatta aliposema kuwa atayapokea kwa mikono miwili matokeo yoyote yatakayopatikana kwenye uchaguzi wa leo, hata kama atakayeshinda ni mgombea toka chama cha NASA, Raila Odinga.

Vile vile nilimsikia pia Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto naye wakati anapiga kura kwenye kituo chake cha kuoigia kura, alipohojiwa na waandishi wa habari naye akasema atayapokea matokeo yoyote ya leo kutokana na matakwa ya wapiga kura wa Kenya, hata kama wananchi watakuwa wameamua kuchagua Muungano wa NASA.

Nasema hizo kauli za wagombea hao 2 kutoka chama kilichoko madarakani hivi sasa, ni lazima ziwe mfano na kuigwa na wenzao wa CCM.

Tulishuhudia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, wagombea wote 2 wa nafasi ya Urais, JPM na mwenzake
Shein wa Zanzibar, walipohojiwa na waandishi wa habari ili kueleza msimamo wao ikiwa watakubali matokeo iwapo watakuwa wameshindwa uchaguzi huo, waligoma kujibu kuwa watakubali matokeo hayo na badala yake wakasema wao ni lazima watashinda!

Tujuavyo ni kuwa watu wawili mnaposhindana ni lazima atapatikana mshindi na mshindwa.

Na vile vile kuna msemo unaosema asiyekubali kushindwa siyo mshindani.

Kwa hiyo kwa kitendo cha wagombea wote 2_kwa tiketi za CCM yule wa Urais wa Jamhuri na yule wa Zanzibar, kugoma kukiri kuwa watayapokea matokeo hata kama ikiwa wao watashindwa ni dhahiri kuwa kumbe CCM huwa wanashinda kwa goli la mkono kwa maana ya kuwa kura zinapokuwa hazijatosha huwa wanalazimisha zitoshe!

Ni vyema kwa mfano ulioonyeshwa leo na wagombea,wa Jubilee, Uhuru Kenyatta na Wiliiam Ruto kwa kutamka hadharani kuwa iwapo watashindwa kwenye uchaguzi wa leo watskabidhi kwa amani kwa viongozi watakaoshinda, mfano huo pia uonyeshwe na viongozi wa CCM watakaosimama kwenye uchaguzi wa 2020, yaani kwa Urais wa Jamhuri ya Tanzania na yule wa Zanzibar wakatamka kabla ya siku ya kupiga kura kuwa matokeo yoyote yatakayotokea watakuwa tayari kuyapokea na watakabidhi kwa amani kwa viongozi watakaokuewa na kupewa riidhaa na wananchi kuliongoza Taifa letu.
Mpaka leo Lowasa anajifanya eti hakushindwa uchaguzi, na hata Maalim Seif ni hivyo hivyo.
 
Tunachosema ni kuwa washondanapo wawili ni lazima atajitokeza mshindi na mshindwa.

Sasa ni kwanini CCM huwa haiamini kuwa kuna kushinda na kushindwa?

Kwa hiyo maana yake ni kuwa wao CCM huwa wanategemea goli la mkono katika kupata ushindi wake!
SACCOS yenu ya kichaga imewahi kuamini katika kushindwa?
 
Je na CCM yenu imeshawahi kukubali kushindwa?

Hebu tuwe wakweli hivi ni lini CCM iliwahi kupata ushindi kule Zenji tokea uchaguzi wa 1995?

Refer maneno ya yule kada mwanamama wa kule Zanzibar aliyewaho kutamka hadharani kuwa Zanzibar yao hawezi kutolewa kwa vijikaratasi vya kupiga kura!
 
Back
Top Bottom