Viongozi wa CCM na CUF wajiunga na CHADEMA Mwanza

Ata ivo mmevumilia sana au mmechelewa kufanya maamuzi magumu so far your welcome to the ground field...
 
baadhi ya viongozi wa ccm na cuf wilaya ya magu mkoani mwanza wamejiuzulu nyazifa zao na kujiunga na chadema kwa madai kuwa wamelenga kuwatumikia wananchi kikamilifu.
Source: Itv
​
nape anasema ni oil chafu hiyo sijui safi ni kina rostam au
 
Back
Top Bottom