Viongozi wa serikali ya awamu ya tano wameshindwa kumshauri Rais wetu njinsi ya kuweka usawa katika demokrasia nchini, hili liko wazi na ushahidi wake umeandikwa kwa kalamu ya chuma ndani ya mioyo ya nyama ya watanzania.
Wamejisiahau kuwa kuna watu wenye kinga ya kushtakiwa kwa makosa waliyo yatenda wakiwa madarakani.
Watanzania wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tunasubiri kwa hamu kubwa utawala wa awamu hii uishe ili tuwaburuze mahakamani. Na hili litakuwa fundisho kwa vizazi vijavyo.
Wajukuu wa watoto wetu watakapo uliza ni kwanini baraza lote la mawaziri wa serikali ya awamu ya tano walifungwa maisha, jibu litakuwa walifungwa maisha kwa sababu wali inajisi demokrasia ya nchi yetu pale walipo pewa ridhaa na wananchi ya kutuongoza.
Sasa hivi wanafurahi kwa kushibisha matumbo yao, ila baada ya awamu hii kupita watalia na kusaga meno wakiwa magerezani.
Na ndiyo maana wanapewa taarifa mapema kuwa wajiandae kufungwa magerezani maisha. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.