Viongozi wa Afrika

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,775
16682046_1863476167274571_52536571687094570_n.jpg

20 February at 22:07 ·

Siku rais Wa Malawi Na mkewe walipomtembelea mama mzazi wa rais kwao kijijini
 
Ina maana miaka yooooote rais anafanya kazi hajabadilisha maisha ya nyumbani kwa mama yake! Ni aibu. Sio lazima kujenga nyumba ya kifahari lakini angetakiwa kuwa mfano wa maisha ya kawaida kijijini kwa kuwa na nyumba liliyopigwa ripu, kusakafiwa, sola, viti vya plastic, uzio wa boma.
Kama kweli huyo ni rais wa malawi tukumbuke kaka yake alikuwa rais pia.
 
Mleta uzi aje kujibu hoja ya andjul. Ni nadra kwa kiongozi wa Afrika kutobadilisha maisha ya anapotokea kwa Tanzania ni Nyerere tu ndiyo aliweza hivyo wengine wote hamna kitu.
 
Huyu Mama kazaa Watoto wawili ambao wote walibahatika kuwa Ma Rais Malawi , Huyu wa Sasa Peter na Kaka yake Hayati Bingu wa Mutharika lakini anaishi Maisha ya kidhalili kuliko aliyowahi kuishi Marehemu Mama Yangu japo si kuwahi kuwa walau Mjumbe wa Nyumba Kumi!
 
Mleta uzi aje kujibu hoja ya andjul. Ni nadra kwa kiongozi wa Afrika kutobadilisha maisha ya anapotokea kwa Tanzania ni Nyerere tu ndiyo aliweza hivyo wengine wote hamna kitu.

Kwa hiyo Unamsifia Nyerere kwa huo Ujinga?

Kumbe kuna Watu bado wanajifaharisha kwa Umaskini wa Maeneo waliyotokea?
 
Kama ni maigizo, haya ni ya kiwango cha chini kuliko ya Kaole...

Ni wajinga waliwao pekee ndio wanaoweza kulikubali hili igizo...

Nawashauri waende japo chuo cha Sanaa Bagamoyo wakanoe vipaji vyao
 
Kwa hiyo Unamsifia Nyerere kwa huo Ujinga?

Kumbe kuna Watu bado wanajifaharisha kwa Umaskini wa Maeneo waliyotokea?
Nyerere alikua na sababu zake za kuwa vile. Unawezaje kulimbikiza mali huku ukiwa unahubiri ujamaa?

Kwenye ubepari kwa vile kipato kinakua hakipo sawa huwezi kuona fahari hata kidogo.
 
Nyerere qna sababu ya msingi sana,hata mwenyewe alishindwa kujenga nyumba yake mpaka akajengewa na jeshi la jkt!

Acheni uongo na Propaganda za Kijamaa na za Kishamba

Uwe Rais kwa Miaka 23 halafu ukose kipato halali ha kuweza kujenga Nyumba Nzuri kijijini kwenu? Mbona Mawaziri wake Kama kina Mzee Kawawa walijenga kwao jee walikuwa Mafisadi?

Mbona tuna wazee wetu walikuwa na kipato cha kawaida cha Ualimu lakini waliweza kujenga Makazi yao!
 
Ni kawaida kwa leaders kwao na daudi the kondakta si umepaona unaweza amini anamiliki gari yenye thamani zaidi ya 100M tshs so usijali kawaida yao, chunguza.
 
Back
Top Bottom