Viongozi vijana ndio wanaongoza kutia aibu Taifa

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Wakuu Salaaam.Nikiwa Nimeketi Katika Zulia Langu Na Mto Ukiniliwaza Nimepata Kutizama TV E Na Kukuta Makonda Akizungumza

Huko Dar es salaam Mbagala Kunako Endelea Zoezi La Upatikanaji Wa KITAMBULISHO pmj Na Usajili kwaalama Ya Dole

Nimesikitika Sanaa Kashindwa Kuzungumzia Na changamoto Tunazopata Wananchi Katika Hili zoezi Lkn Kaenda Mbaali Ku Blame.

Nakuongea MANENO Ya shombo

Nanukuu:Hatuongezi Hata Second Katika Kuzima Line Zoote Zisizo Sajiliwa Mmebakia Umbea Nakukaa Kusema watu

Mimi Nimekuja Sio Kuwatia Moyo Nimekuja Kuwashangaeni Kumbe Ndio Hawa Mpaka walazimishwe

Mpaka wasikie TCRA Ndio wajitokeze
Mwisho wa Kunukuu

Serekali Inapenda Sana Command lkn Inashindwa Kuelewa Kuwa Nchi Yoyote Yenye Mafanikio Niyenye Kufata Taratibu Na Sheria

Wananchi Tunapitia Changamoto Nyingi katika Kupata Hivi Vitambulisho Wapo walio Fata Hatua zote Lkn Mwisho Wasiku Taarifa zao Zimeelezwa Sio Sahii Zingine Hazionekani
Ivyo Warudie tena

Wanashindwa Kuelewa Watu Wahali Yachini Wanategemea Ajira Zenye Ma boss Wenye Gubu Nabiashara Zenye Kuhitaji Nguvu Nyingi Kupata Wateja

Wapo Walio Poteza Kazi Zao Kwajili Ya Kufatilia Swala Hili Bila Mafanikio Lkn wapo Pia Walio Shusha Idadi Ya Mapato Yao Kwasiku

Kwaajili Ya Zoezi Hili hili La Vitambulisho

Nauliza tu Kama Serikali Yetu Nisikivu Na Wanatamani Sote Kupata KITAMBULISHO Kwann Hapo Awali Hawakutengeneza Mazingira

Ya Wadau Wote Wakufanikisha hili zoezi Kutimia Kukaa Pmj Kama sasa wanavyo Fanya
Ninacho Jaribu Kuona Kinacho Fanyika

Niuonevu Na Unyanyasaji Kwawatu wachini Wasio Nahatia Hataka Kdg Katika hili

Mbaya Zaidi Wana Limits Line za kusajili Vipi ikiwa Mwananchi Nimfanya biashara Kama Wa Tigo pesa Mwenye Duka Zaidi Yatano

Hili suala Litamuasiri vipi Huyu Mfanyabiashara? Nikweli Tunateleza Dhana Yahapa kazi tu Au Hapa Tabu Tuu..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili zoezi mwanzo wengi tulilidharau, wachache wakajitokeza kujiandikisha wakapata na vitambulisho vyao, wengi hata kwenda kuchukua vitambulisho vyao kwenye ofisi za serikali za mitaa wamegoma, vipo vingi tu mpaka leo, sasa baada ya hii presha yakufungiwa line kuanza ndio wengi wamejitokeza kwa pamoja, mijini na vijijini, jamaa zangu wa NIDA wamezidiwa.

Watu bado wapo kwenye foleni wakati kesho ndio mwisho wa kusajili,hivi itawezekanaje hawa watu kupewa vitambulisho/namba zao kwa masaa machache yaliyobaki?! lazima waongeze muda, manake huwezi kumfungia mtu line yake wakati ameshakamilisha taratibu za kupatiwa kitambulisho/namba, sasa kazi kwao kuzifyatua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawengi watavutupa baada ya kusajiri line zao kwani inaonekana nida nikwa ajili ya simu tu
Umeona eeh, tunaishi maisha very primitive sana. ID ya taifa ina mambo mengi sana ya muhimu, lakini viongozi wanawaimbisha wananchi kwamba ID hizo ni kwa ajili ya usajili wa simu tuu. Jee ni kweli? Kwa hiyo asiye na shida ya simu hana sababu ya kuwa na ID hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom