Viongozi shupavu

Viongozi shupavu

DENG XIAOPING

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2022
Posts
2,392
Reaction score
2,599
Je ni michango gani chanya hawa viongozi wamechangia katika mataifa yao ?
1. Mwalimu. Julius .k. Nyerere[emoji1241]
2. Chairman. Mao Zedong[emoji630]
3. Comrade. Deng Xiaoping[emoji630]
4. General Secretary. Xi Jinping[emoji630]

SF-julius-nyerere.jpg
mao.jpg
dengxiaoping.jpg
Chinese-President-Xi-Jinping.jpg
 
Sasa Mwalimu yeye kafanya nini haswa zaidi ya wazee wetu kumtuma kwenda kudai uhuru wa nchi yetu.?
Baada ya hapo akaiingiza nchi kwenye umaskini wa kutupwa. Kwa kufuata sera mbovu za kijamaa. Katusaidia. Lakini sio kiongozi shupavu.
 
Mzee ushupavu wa mwalimu ninaouhitaji Mimi nikatika vitu chanya alivyoleta katika taifa ni pamoja na huo Uhuru ulioutaja wewe hapo na pamoja na kutuunganisha Kama taifa
 
Back
Top Bottom