YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 38
Nadhani kama hukusoma sekondari ya kata, ungejua hayo uliyouliza... Hii ni historia iliyo wazi ila kama hujui basi... Je ni Wayahudi (Jews) waliteketezwa kwenye Gas Chambers na Adolf Hitler? Sababu zilikuwa ni nini? Na unaposema Adolf Hitler alileta maendeleo makubwa, je unajua maisha walioshi wajerumani baada ya vita kuu II. Ni aibu hata kwa wajerumani wenyewe wakikusikia eti unadai Adolf Hitler alileta maendeleo... kama hayo ndio mawazo ya wasomi wa Tanzania basi hata kuna alama kubwa ya kuuliza katika usomi wao!
Hivi wewe mtu mbona unajifanya umesoma kuliko wenzako? Jana nilikuomba usichangie hii thread sababu elimu yako ya nyota iko juu zaidi. Sasa unapomwambia mtu usiyemjua amesoma sekondari ya kata huoni unamvunjia heshima? Inawezekana amekuzidi elimu na busara. Hebu chapa mwendo na madigrii yako ya elimu ahera.
Rev. Masanilo, hakuna kitu kinanichefua kama mtu anayejua anapotosha watu. Kweli kumsifu Adolf Hitler ni kuhalalisha mauaji ya halaiki na ni kukukosa hekima kwa kiwango cha juu kabisa! Ukweli ni kwamba nchini ujerumani Rev. anayesifia Adolf Hitler, angekuwa ameshafungwa jela. Mie sioni kwanini kama wewe ni Rev unatetea ualifu? This is appalling! I wish ningekuwa mkiristo nisikie mawaidha yako huko kanisani!
Kighoma Ali Malima... aliweza kuleta revolution kwenye ufanyaji mithani la saba, kidato cha nne na sita kwa introduce numbering system. alikuwa mwiba kwa wadini(ukristo). pamoja na kuwa alikuwa kiongozi mkubwa wakati wa nyerere. nyerere hakuhudhuria mazishi yake kwa chuki kubwa aliyokuwa nayo. the guy is my hero.
Yeah ndiyo sababu kubwa shule za Muslim secondary schools mwaka huu ziko kwenye top ten! Zimefanya vizuri sana ....hongera Alhaji Mufti Marehemu Malima
Huna hata mmoa toa africa? mbona wapo wazuri wengi, kila cheupe mwakipendaaaa hat kinyesi chao dhahabu.
Pole bado unaendekeza chuki zako kwa muslims and Islam..mtakufa wote na kihoro
Kighoma Ali Malima... aliweza kuleta revolution kwenye ufanyaji mithani la saba, kidato cha nne na sita kwa introduce numbering system. alikuwa mwiba kwa wadini(ukristo). pamoja na kuwa alikuwa kiongozi mkubwa wakati wa nyerere. nyerere hakuhudhuria mazishi yake kwa chuki kubwa aliyokuwa nayo. the guy is my hero.
Kighoma Ali Malima... aliweza kuleta revolution kwenye ufanyaji mithani la saba, kidato cha nne na sita kwa introduce numbering system. alikuwa mwiba kwa wadini(ukristo). pamoja na kuwa alikuwa kiongozi mkubwa wakati wa nyerere. nyerere hakuhudhuria mazishi yake kwa chuki kubwa aliyokuwa nayo. the guy is my hero.
Rev. Masanilo, hakuna kitu kinanichefua kama mtu anayejua anapotosha watu. Kweli kumsifu Adolf Hitler ni kuhalalisha mauaji ya halaiki na ni kukukosa hekima kwa kiwango cha juu kabisa! Ukweli ni kwamba nchini ujerumani Rev. anayesifia Adolf Hitler, angekuwa ameshafungwa jela. Mie sioni kwanini kama wewe ni Rev unatetea ualifu? This is appalling! I wish ningekuwa mkiristo nisikie mawaidha yako huko kanisani!
Si kweli kwamba Neo Nazi wanamsifia Adolf Hitler waziwazi! Wale Neo Nazi, ambo wengi wao ni walevi wa madawa, wako kwenye chama cha mrengo kulia NPD lakini shughuli za ki-neonazi zinafanyika kwa kificho. Wanapofanya siasa za kinazi hata kwenye internets wanafanya kwa codes. Ni makosa kuvaa au kutumia alama ya Nazi Ujerumani. Ni makosa kukutwa na kitabu alichoandika Adolf Hitler "Mein Kampf" kimepigwa marufuku Ujerumani. Ni makosa kutoa salam ya Hitler kuinua mkono mmoja wa kulia mbele. Na chakushangaza pia utafiti uliofanywa ni nadra au hakuna watu wanaoita watoto wao Adolf baada ya vita kuu ya pili, na wale wote wa ukoo wa Hitler wamebadili koo huo! Ni uchungu sana maana hata hii leo wahanga wa unyama wa Adolf Hitler wanaelezea unyama usio na kifani alioutendea wanadamu wenzake. Hakuna mtu yoyote anayeshika public office neo nazi. Akithibitika kuwa ni mfuasi wa Neo Nazi hata kwa kificho anavuliwa madaraka. All these are facts you can counter check them.Mkuu hapo kwenye umeongopa, leo hii kuna neo-nazi wengi tu duniani icluding Germany kwenyewe wanafanya mambo yao uwazi na dhiahaka zaidi ya hii hapa JF na bado hawafungwi. Freedom of speech iko juu sana kuliko bongo, usidanganye watu hapa.
wewe ndio kilaza manake unamwandama Rev kwa hisia za ukiristo vs uislam.Umekuwa ukiziandama sredi zangu sasa nitoke uje wewe uchukue nafasi yangu kitandani ili wivu ukuisheNadhani kama hukusoma sekondari ya kata, ungejua hayo uliyouliza... Hii ni historia iliyo wazi ila kama hujui basi... Je ni Wayahudi (Jews) waliteketezwa kwenye Gas Chambers na Adolf Hitler? Sababu zilikuwa ni nini? Na unaposema Adolf Hitler alileta maendeleo makubwa, je unajua maisha walioshi wajerumani baada ya vita kuu II. Ni aibu kusikia mtu anajaribu kutetea udhalimu uliochefua ulimwengu mzima! Hata kwa wajerumani wenyewe wakikusikia eti unadai Adolf Hitler alileta maendeleo watakuona mwehu! ... kama hayo ndio mawazo yako basi hata matokeo ya shule za kata ungekuwa wa mwisho!