Hah hah haaaah umelitaja Jembe la kung'oa vimwana...
Silvio Berlusconi nayazimia sana maisha yake.
Sura yake tu imekaa kuwa kiongozi
Nimejaribu kuangalia Historia nimejikuta ninawazimia sana hawa jamaa wakati wa uongozi wao
- George Bush - US
- Adolf Hitler - Germany
- Benito Mussolini - Italy
- Hideki Tojo - Japan
- Ferenc Szálasi - Hungary
- Francisco Franco - Spain
Nina sababu nitaelezea baadaye mmoja mmoja
1. Gen Franco alizaliwa 1892 na kufa 1975. Alizaliwa kwenye familia ya kijeshi. Kati ya mwaka 1907 na 1910, alisoma katika chuo cha kijeshi cha Toledo Infantry alitumikia uhispania na Moroccokutoka mwaka 1910 to 1927. Alipata sifa kwa kushambulia wa Morocco mwaka 1927 na alipandishwa kuwa full Gen na kuwa mkuu wa chuo cha kijeshi cha Saragossa Military Academy. Mwaka 1936 alikuwa mnadhimu Mkuu wa jeshi la Spain na kiongozi mkuu. Mzee mzima Hitler alimkubali sana. Alikuwa mkatili sana huyu bwana.
mkuu masanilo mbona mwinyi alituletea mabadiliko yakiuchumi kilamtu akaweza kununua atakacho sio kama enzi ya mjomba wako nyerere hata tv alikua nayo yeye tu,hata sukar ya mgao kutoka rtc.Mkuu huyo Mwinyi mtoe ni kilaza sana huyo aligeuza ikulu banda la kufugia kuku
mkuu masanilo mbona mwinyi alituletea mabadiliko yakiuchumi kilamtu akaweza kununua atakacho sio kama enzi ya mjomba wako nyerere hata tv alikua nayo yeye tu,hata sukar ya mgao kutoka rtc.
Ok my friend masa baki na msimamo wako ila mm nahisi mwinyi alitutoa dunia ya giza akatuweka katika nuru ya dunia iliyoendelea.
Hao jamaa walikuwa hawauzi sura kabisa! Wakiona wewe unatabia za Chenge, Rost TAMU ama Rich man of Monduli basi ulikuwa unapotea.
wewe ndio unashindwa kumwelewa Rev. HAO ALIOWATAJA WALILETA MAENDELEO makubwa kwao, kama unabisha tuwekee udhibitisho.Rev. Masanilo nadhani too much of JF inakupotosha sasa. Nimekua nikifuatilia sana threads zako kama mtu makini katika JF lakini hizi za mwisho mwisho zimelenga sana udini na hii imenisononesha sana kama unahusudu waalifu wa vita waliongamiza mamilioni ya watu. Nadhani mtanzania msomi Rev Masanilo unapaswa kuijua historia ya dunia na machungu watu hao walioletea dunia, kama mtu mwenye utu unapaswa kuonea aibu uhalifu. Tukiusifu uhalifu kama hivi tunalishushia hadhi jamvi na hatuna tofauti na wale wanaowasifu mafisadi na kuwakingia kifua.
Chemical Ali alikuwa Arsenal kumbe lol nimefurahia hilo.
Utakuwa una tatizo kubwa sana akilini! Nikigombea ubunge nije tangaza JF? Hebu jaribu kwa na fikra. Nitapata kura ngapi hapa JF? kwanza ninakotoka hata umeme wa mgao haupo. Sasa ni mpigakura yupi angesoma JF? Nina haki ya kuchagua nikipendacho sawa kijana! Usiwe unasoma Kitu JF na kumeza wengine tunachukulia hapa ni kijiwe tu. Nadhani hutaleta fikra duni zako milele.
Kemal Ataturk
Alizaliwa na jina lake kamili kama Mustafa Kemal Ataturk kiblia Thessalonike Ugiriki mwaka 1881...Huyu mwanaume aliitawala miaka 15 na alikufa 1938 akiwa madarakani..
Mwanaume huyu katika kitu ambacho alikifanya aliibadilisha jamii ya kiislamu ya kiOttoman kuwa jamhuri ya kiistarabu watu wa Uturuki.... kwa kuangalia haraka haraka huyu mwanaume unaweza ona kafanya kitu kidogo lakini hakika nawaambieni badiliko la kilazima katika jamii na kisiasa ilibadilisha kabisaaa taswira ya kiislamu....kutoka hapo alibadilisha kabisa mpaka uvaaji wa jamii ile na ku adopt culture ya kizungu na ndie inafahamika kama baba wa taifa la uturuki...
Namkubali zaidi pale alipobadili na kupiga marufuku ushenzi wa yale maandishi yatokayo kulia kwenda kushoto...na kuanza kutumia alfabeti za kirumi..
wewe ndio unashindwa kumwelewa Rev. HAO ALIOWATAJA WALILETA MAENDELEO makubwa kwao, kama unabisha tuwekee udhibitisho.
Kivipi useme anaendekeza udini?kwani huo uhalifu unaousemea ulifwanya dhidi ya watu wa dini nyingine?au basi ukiona Rev unakwazika