mkuuu unaonekana unahali ya udikteta bcs wengi wao walikuwa madikteta!nimejaribu kuangalia historia nimejikuta ninawazimia sana hawa jamaa wakati wa uongozi wao
- george bush - us
- adolf hitler - germany
- benito mussolini - italy
- hideki tojo - japan
- ferenc szálasi - hungary
- francisco franco - spain
nina sababu nitaelezea baadaye.
ni kweli mkuu hao jamaa walikuwa si mchezo ila mkuu umeniuzi sipendi kuwasikia uliyowataja hapo juu! Mafisadi hao!hao jamaa walikuwa hawauzi sura kabisa! Wakiona wewe unatabia za chenge, rost tamu ama rich man of monduli basi ulikuwa unapotea.
Hideki Tojo - Japan
Huyu alizaliwa December 1884 na kufa 23 December 1948. Alikuwa gen wa jeshi la Japan na waziri mkuu wa 40. Heideki alishambulia bandari ya Pearl inaaminiwa hii ilisababisha US kuingia kwenye vita kuu ya pili ya dunia. Baada ya vita kuu ya pili ya dunia Gen Tojo alihukumiwa kufa sababu ya war crimes na alinyongwa mwaka 1948. Alijaribu kujiuwa mara kadhaa bila kufanikiwa akiwa kifungoni akisubiri hukumu. Jamaa alikuwa mkatili ile mbaya alikuwa hacheki na wajinga wajinga.
Mkuu naomba ufafanuzi hapo kwenye nyekunduJamaa alikuwa mkatili ile mbaya alikuwa hacheki na wajinga wajinga.
Masanilo last time i checked, nakumbuka ulisema unampango wa kugombea ubunge, sasa kwa picha hii na thread hii unaonyesha fika hufai na wewe ni msaliti wa democrasi haina haja ya kutupa profile za hao watu kwani hata sisi tunajua wapi cvs zipatakina, wewe unatakiwa utueleze kwanini una wapenda na kuwazimia madikteta zaidi ya wanamapinduzi wa kweli, kama akina carlos max, vladir alych lenin,ernesto che guevara, mahatma gandhi na wengineo kwa style hiyo wewe hutufai na nimiongoni mwa wanafiki na wasaliti wakubwa wa demokrasia, unampenda bush kwa lipi zuri alilolifanya zaidi ya u free manson na mauaji tya kinyama kwa watu wasio na hatia? na huyo hitler aliyoyafanya sobibo tunayajua, ki ukweli nimekudharau sana kwa thread yako ya leo.