mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 916
Maneno ya mfa maji.wakuu wapigania haki wenzangu
gerezani hapatishi kama chumba cha hospital "ICU "
pale wanakomazwa tu
_lakini huyo kikwete mwenyeww akiambiawa mtoto wake kalazwa icu hata kama ni india lazima apagawe!!
ccm na mahakama zao kupeleka viongozi wa upinzani police au mahakamani wala haitishi mtu yeyote!!!