Viongozi na wanachama 31 wa CUF wamepelekwa Gerezani Keko!

wakuu wapigania haki wenzangu
gerezani hapatishi kama chumba cha hospital "ICU "
pale wanakomazwa tu
_lakini huyo kikwete mwenyeww akiambiawa mtoto wake kalazwa icu hata kama ni india lazima apagawe!!


ccm na mahakama zao kupeleka viongozi wa upinzani police au mahakamani wala haitishi mtu yeyote!!!
Maneno ya mfa maji.
 
Hapo sasa mahakama zimeanza kuwa imara halafu unasema mahakama imetumiwa na wanasiasa unaweza kuwa na uthibitisho wa hiki unachosema au umeamua kuropoka tu.

Hapo umetumia kichwa kujenga hiyo hoja au tundu la kinyesi?
 
Naona lumumba Wote wamehamia huku,muda sio mrefu nitaona comment ya Kinana.

Ha ha ha Umeona eeh Mkuu.. Jioni wanaenda kukinga buku saba zao.. Kesho wakiwa mitaani kwao watalalamika ukatili wa Police dhidi yao au ndugu zao.. Mapoyoyo kweli hawa..
 
Mahakama, Serikali ni sawa na Pipa na mfuniko wake! Angalau Bunge linawatu wenye kutumia Ubongo Ingawa Wabunge wa CCM wamedhihirisha kuwa wao wako Upande wa PIGA TU... Liwalo na Liwe...

We ni mtu wa Mwanza lakini una tabia za kihaya, kwani polisi waliwafuata waandamanaji nyumbani kwao? kipigo wamekifuata wao wenyewe. eti wanaharakati, unakufa wenzako wanapata madaraka na hakuna atakayelisha familia yako kama unayo. Nani anamlisha mke na watoto wa Mwangosi hivi sasa? kazi yao kumtumia kama kielelezo tu kujipatia umaarufu kisiasa. Mi ningekuwa polisi kweli ningemtoa jicho huyo kiongozi na huyu Lissu, wanapenda sifa za kijinga.
 
Wewe muongo watuhumiwa wote walifikishwa mahakamani Jana na wapo njee kwa dhamana usipende kuleta habari za kishabiki hapa
 
Mmewashutumu polisi kuwa wanatumiwa na wanasiasa, leo mnaishutumu mahakama, kesho utamshutumu hata mkeo kuwa anatumiwa na wanasiasa, Kuwa reasonable sio kila jambo unatuhumu utawala tu, we sababu walizotoa hukuona ni za msingi! Au kwa kuwa una mawazo mgando basi unahisi kuonewa katika kila sekta! Hata cuf wakitawala hakuna jipya, haya yatakuwepo tu na zaidi ya hayo.

Eti polisi ni walinzi wa usalama. I doubt it!
 
Sure mkuu mleta mada uwezo wake wa akili hatafakari kwa kina kweli ipo siku hata mke atamtuhumu kutumiwa na wanasiasa.

Nyie teteeni uwozo wa serikali ya nyinyiem. Siku zenu zinahesabika. Iko mtashika makali na sisi mpini. Hapo ndipo mtapojuwa mkuki kwa nguruwe?
 
Ndugu zangu, leo Tarehe 29 Januari 2015 ni
siku ambayo watuhumiwa wengine 31 katika
sakata la maandamano ya Temeke
wamefikishwa mahakamani baada ya Prof.
Lipumba.


Wakati wadhamini wanajiandaa kutoa
nyaraka zao waanze taratibu za dhamana,
mahakama ikaleta hoja mpya kuwa kwa
sababu watuhumiwa ni wengi (31) haitaweza
kushughulikia suala hilo leo.
Hivyo,
watuhumiwa wamepelekwa gerezani Keko
ambako watakaa hadi kesho Ijumaa ndipo
dhamana zao zinaweza kutolewa.


professor kilaza


Kweli siku ya kufa Nyani miti yote huteleza;haya ndiyo sehemu ya hoja ya James Mbatia.
Mahakama na Jeshi la Polisi kuwa sehemu ya Ukandamizaji .Siku hii iko karibu sana!
 
Mtatukana vyombo vyote mpaka sasa mshatukana polisi,mmetukana jeshi,mmetukana usalama wa taifa,mmetukana mahakama sijui akili zenu zinawaza nini kama kila kitu au chombo nyie mnakitukana na kutuhumu kutumiwa na wanasiasa wakati hata wewe ni miongoni mwa wanasiasa.

Hakuna chama cha upinzani tz chenye dhamira ya kweli ya kuwasaidia wabongo, vipo kimaslahi tu. Upinzani si kutukana wala kulaumu au kulalamika but rather wazo mbadala the best alternative to do things........its too long
 
We ni mtu wa Mwanza lakini una tabia za kihaya, kwani polisi waliwafuata waandamanaji nyumbani kwao? kipigo wamekifuata wao wenyewe. eti wanaharakati, unakufa wenzako wanapata madaraka na hakuna atakayelisha familia yako kama unayo. Nani anamlisha mke na watoto wa Mwangosi hivi sasa? kazi yao kumtumia kama kielelezo tu kujipatia umaarufu kisiasa. Mi ningekuwa polisi kweli ningemtoa jicho huyo kiongozi na huyu Lissu, wanapenda sifa za kijinga.

Kwani polisi siku hizi ofisi zao ziko barabarani? Manake watu walikuwa ofisini kwao kwenye shughuli zao za kisiasa na kijamii. Heri mwenye tabia za kihaya (na ni zipi hizo?). kuliko kukosa akili kama m--vu wewe mwenye akili nyingi zisizo na kazi.
 
Mipoyoyo ya Lumumba imejipanga kweli aisee. Safi sana Katibu mwenezi kwa kuwaongezea posho ya siku.
 
We ni mtu wa Mwanza lakini una tabia za kihaya, kwani polisi waliwafuata waandamanaji nyumbani kwao? kipigo wamekifuata wao wenyewe. eti wanaharakati, unakufa wenzako wanapata madaraka na hakuna atakayelisha familia yako kama unayo. Nani anamlisha mke na watoto wa Mwangosi hivi sasa? kazi yao kumtumia kama kielelezo tu kujipatia umaarufu kisiasa. Mi ningekuwa polisi kweli ningemtoa jicho huyo kiongozi na huyu Lissu, wanapenda sifa za kijinga.

TAARIFA KUWA jicho lako limekiwa zimesambaa kila kona. Hawajaacha Rinda hata moja.
 
Sasa wewe Kilaza mbona sio hapo unapo sema mahakama ina shinikizwa?
Ulitaka wafanye kazi nje ya uwezo wao?

Basi twambie mahakama ilipo mpa ushindi Lema ilishinikizwa na nani?
Tundu Lissu alipo shinda case yake mahakama ilishinikizwa na nani?
 
Last edited by a moderator:
Nafkir ustaarabu haununuliwi popote si lazima tufanane mawazo tofaut ni lazima ziwepo ila ziwe na mipaka
 
Leo ni lumumba day!! Wapo wanne tu, mjepo Hot Lady Ghosryder Prezidah hao ndiyo wamechiwa ukumbi leo waserebuke,ila hoja zao ni za hovyo hovyo,kila siku kuna watuhumiwa karibia hamsini hufikishwa mahakamani na kudhaminiwa,kama hao 30 wa leo wamekuwa wengi sana basi ingefika mahali midhamana ingetolewa kwa tarehe kama vile kesi zinavyoahirishwa!! Kuahirisha mdhamana ni kunyima mdhamana,hebu nyie makocho wa lumumba fikirieni hili,ikiwa kwa mfano kesi yako imepangwa kusikilizwa kesho,na mahakama ikaruhusu mtuhumiwa kudhaminiwa,na mdhamini yupo na vigezo anavyo,then hakimu jinga akatangaza kuwa mchakato wa mdhamana utafanyika kesho!! Kutakuwa na mdhamana hapo?na ile haki ya mtu kudhaminiwa itakuwa imetekelezwa kwa vitendo?hebu tumieni akili munapotaka kutetea chama chenu,na ukweli wa vyombo hivi vyote kutumiwa na viongozi wa ccm unaonekana kwenye maamuzi kama haya,mf polisi walimpiga Mh Lipumba baada ya Lipumba kuahirisha maandamano halali,polisi waliwpiga raia wengine waliokuwa wakielekea majumbani mwao baada ya kutii agizo kandamizi la polisi la kuzuia maandamano halali(kikatiba na kisheria)ukija kwenye mahakama ndiyo kama hivyo,mahakama inaruhusu dhamana,kisha hapohapo inazuia dhamana hiyo hiyo,na usiishie tu kwa jeshi la polisi na mahakama,ila siku hizi ccm inawatumia hadi viongozi wa dini na wachawi,ni kama mtu aliyesombwa na maji,anakamata chochote anachodhani kinaweza kumwokoa asife,ila nyie makapurwa wa ccm nawaonea huruma kabisa,huwezi kuwa na akili timamu na utetee upuzi kama huu.
 
Last edited by a moderator:
Tasrifa ya uongo hii. Waruhumiwa wote walifikishwa mahakamani jana pamoja na Lipumba. Wote waliachiwa kwa dhamana. Kesi yao i epangwa kusikilizwa tena Februari 26. Mods futeni huu ujinga

uko kwenye siku zako.??
 
Back
Top Bottom