viongozi CHADEMA wasaidie polisi - ITV

MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
5,076
Likes
808
Points
280
MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
5,076 808 280
Katika swali la Kipimajoto jioni hii ITV wanawauliza watazamaji ;kutokana na CDM kuwajua waliorusha bomu Je Viongozi wa CHADEMA WAISAIDIE polisi ili ukweli upatikane?
Kwa swali hili ni dhahiri ITV inataka kujipambanua wako mrengo gani kisiasa na kama ni hivi au ni washiriki katika dhambi hii au wanataka kujiingiza katika malumbano yatakayo ididimiza.

Tunaojua maana ya "KUISAIDIA POLISI" ITV ina maanisha viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe akamatwe atoe ushahidi. Hii ndio maana ya kuisaidia polisi ninayoijua kwa muktaza wa Kitanzania

Nani anataka ukweli ufahamike ni ITV ili iweje baada ya yeye siku ya tukio kuwanyima waTZ habari. Yale niliyosema ya ITV kuanza kutumika vibaya yanazidi kudhihirika waziwazi sijui ni kada gani wa CCM ameingia ubia kukiongoza hiki kituo cha ITV
 
bukabwa

bukabwa

Senior Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
112
Likes
0
Points
0
bukabwa

bukabwa

Senior Member
Joined Jun 16, 2013
112 0 0
MVUMBUZI sio maana hiyo ya kusaidia Polisi what i know kusaidia polisi sio kukumatwa wenda kibongo bongo, unaweza kusaidia polisi kuwafuata na kuwambia kitu kama unaushahidi wakati mpango unafanyika sio kakamatwa
 
Last edited by a moderator:
sungura1980

sungura1980

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Messages
1,912
Likes
29
Points
135
sungura1980

sungura1980

JF-Expert Member
Joined May 20, 2013
1,912 29 135
Kwa Tanzania,kuisaidia polisi ni kuwekwa selo na kutakiwa kujibu maswali mbalimbali !
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Nadhani ITV ingetoa airtime ili watoe huo ushahidi huo hadharani, wala sio sualala kupeleka polisi ushahidi. Ni nani bado anawaamini polisi wa CCM?
 
M

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Messages
2,534
Likes
31
Points
135
M

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined May 8, 2008
2,534 31 135
ITV wanafiki hao na Mengi asipoangalia tutamsutukia na kufichua madhambi yake asituchezee akili mara apendelee kutanga matukio ya Chadema mara anaweka ushabiki.
 
MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
5,076
Likes
808
Points
280
MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
5,076 808 280
MVUMBUZI sio maana hiyo ya kusaidia Polisi what i know kusaidia polisi sio kukumatwa wenda kibongo bongo, unaweza kusaidia polisi kuwafuata na kuwambia kitu kama unaushahidi wakati mpango unafanyika sio kakamatwa
Kwa Tanzania kuisaidia Polisi maana yake ni hiyo niliyosema siyo nyingine. ITV walimaanisha kitu hicho hicho
 
R

RUT

Senior Member
Joined
Feb 6, 2013
Messages
131
Likes
9
Points
35
R

RUT

Senior Member
Joined Feb 6, 2013
131 9 35
sasa nyinyi mukitaka kituo hicho kifuate matakwe yenu. Hicho ni chombo huru.
 
Kiwi

Kiwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
1,030
Likes
253
Points
180
Kiwi

Kiwi

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2009
1,030 253 180
Katika swali la Kipimajoto jioni hii ITV wanawauliza watazamaji ;kutokana na CDM kuwajua waliorusha bomu Je Viongozi wa CHADEMA WAISAIDIE polisi ili ukweli upatikane?
Kwa swali hili ni dhahiri ITV inataka kujipambanua wako mrengo gani kisiasa na kama ni hivi au ni washiriki katika dhambi hii au wanataka kujiingiza katika malumbano yatakayo ididimiza.

Tunaojua maana ya "KUISAIDIA POLISI" ITV ina maanisha viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe akamatwe atoe ushahidi. Hii ndio maana ya kuisaidia polisi ninayoijua kwa muktaza wa Kitanzania

Nani anataka ukweli ufahamike ni ITV ili iweje baada ya yeye siku ya tukio kuwanyima waTZ habari. Yale niliyosema ya ITV kuanza kutumika vibaya yanazidi kudhihirika waziwazi sijui ni kada gani wa CCM ameingia ubia kukiongoza hiki kituo cha ITV
Binafsi nimeshangazwa na kuchukizwa sana na jinsi ITV ilivyolichukulia suala zima la bomu la Arusha kimzaha mzaha. Haikuipa taarifa hiyo kipaumbele ambacho ingestahili. Wakati vyombo vingine vya habari ulimwenguni vimezungumzia kwa kirefu siku ile ile tukio lilipotokea, ITV walitoa taarifa hiyo baada ya kueleza mambo mengine ambayo wao waliyapa kipaumbele, na hata alivyolieleza Albert Nitwa ilikuwa ni kama sentensi moja mbili tu. Hakukuwa hata na mtu wa ITV ambaye angeweza kutupa habari zaidi kama wanavyofanya sehemu zingine. Cha ajabu wanao watu wao Arusha, na hata kwenye kampeni za udiwani zilizokuwa zinaendelea sehemu mbalimbali nchi nzima mara kwa mara alikuwa anaonekana Ufoo Saro na wanahabari wengine kutujuza zaidi yaliyojiri. Kampeni zote za ccm tumewaona wakielezea kwa marefu na mapana, kuanzia matusi ya kina Mwigulu na vitisho vyao na maneno ya kina Nape huko huko Arusha tumeyaona kupitia ITV. Kampeni za CDM pia walikuwepo. Iweje siku bomu limerushwa na watu wamepoteza maisha hakuwepo mwanahabari yeyote wa ITV?

ITV imepoteza mwelekeo. Hizi nishani na tuzo anazopewa Mengi zimempanda kichwani, labda anaogopa kituo chake cha TV na redio pamoja na magazeti yake kufungiwa. Mpaka wanafikia kutunga maswali ya kipimajoto yanayoashiria ya kuwa ITV ni sehemu ya TBCCM, ni dalili tosha ya kuwa wameshanunuliwa...
 
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Messages
15,078
Likes
4,863
Points
280
E

Earthmover

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2012
15,078 4,863 280
Katika swali la Kipimajoto jioni hii ITV wanawauliza watazamaji ;kutokana na CDM kuwajua waliorusha bomu Je Viongozi wa CHADEMA WAISAIDIE polisi ili ukweli upatikane?
Kwa swali hili ni dhahiri ITV inataka kujipambanua wako mrengo gani kisiasa na kama ni hivi au ni washiriki katika dhambi hii au wanataka kujiingiza katika malumbano yatakayo ididimiza.

Tunaojua maana ya "KUISAIDIA POLISI" ITV ina maanisha viongozi wa CHADEMA hasa Mbowe akamatwe atoe ushahidi. Hii ndio maana ya kuisaidia polisi ninayoijua kwa muktaza wa Kitanzania

Nani anataka ukweli ufahamike ni ITV ili iweje baada ya yeye siku ya tukio kuwanyima waTZ habari. Yale niliyosema ya ITV kuanza kutumika vibaya yanazidi kudhihirika waziwazi sijui ni kada gani wa CCM ameingia ubia kukiongoza hiki kituo cha ITV
......Mkuu wameingia kichwa kichwa........bora panzi anaweza kuona mbele mm 3
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Likes
897
Points
280
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 897 280
mkuu Kiwi usiwalaumu itv na walichokifanya ni kizuri sana tena sana..
 
Last edited by a moderator:
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
4,129
Likes
51
Points
0
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
4,129 51 0
Chadema pekee ndio wenye haki ya kukosoa, ITV hiyo hiyo ikikosolewa na wengine mnapinga!
 
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Messages
4,588
Likes
2,670
Points
280
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2010
4,588 2,670 280
Nadhani hili ndio swali husika...umetoa wapi hilo mkuu!?

SWALI LA KIPIMAJOTO LINAHOJI:-
KAULI TOFAUTI ZA VYAMA KUHUSU MLIPUKO WA ARUSHA. JE VIONGOZI WAO WASAIDIE POLISI ILI UMMA UPATE UKWELI ?
 
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,327
Likes
10,112
Points
280
figganigga

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,327 10,112 280
MKUU SWALI LA KIPIMAJOTO LINAHOJI:-"KAULI TOFAUTI ZA VYAMA KUHUSU MLIPUKO WA ARUSHA. JE VIONGOZI WAO WASAIDIE POLISI ILI UMMA UPATE UKWELI ?". Mia
 
Msalagambwe

Msalagambwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Messages
716
Likes
66
Points
45
Msalagambwe

Msalagambwe

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2012
716 66 45
Njama za muda mrefu za CCM ni kuwaua kimyakimya waTanzania wote wanapinga kwa nguvu sera zao muflisi kwa kutumia hila zote.Aidha kwa muda mrefu CCM kwa kushirikia na POLISI ,USALAMA WA TAIFA na Kikosi chao cha Mauaji kiitwacho GREEN GUARD wamekuwa wakifanya mauaji nchi nzima na kujeruhi wananchama wa vyama vya upinzani kwa nia ya kudhoofisha mageuzi nchini na kujaza hofu raia wa Tanzania.
Hila hizo zimegonga ukuta na kusambaratika.

Kwa vile lengo lao namba moja kuwaua watanzania, sasa hivi wameona ni bora waingie katika wamu ya pili ya kuwaua kwa haraka. Wanatumia Risasi na Mabomu kuwamaliza waTanzania wanaopinga sera za Kikaburu za CCM zilizo jaa kila aina ya uonevu na dhurma.

Njama za CCM za kutaka kuendelea kushika madaraka kwa kumwaga damu za Watanzania ni hatua ya mwisho ya kutapatapa kabla CCM hakijakata roho.

Zama za CCM kushinda uchaguzi kwa kuwatia hofu wananchi ni zama zilizo historia.

Uamuzi wa CCM wa Kuua wananchama na viongozi wa vyama vya upinzani sasa umewaponza.
Aidha unaharakisha mwisho wao wa kuwepo madarakani.

Nani hajui kwamba CCM ni mkusanyiko wa Mharamia waio na simile?
Nani asiyejua kwamba CCM ni mkusanyika wa Wahuni malaya na mabasha?
Nani asiyejua kwamba umoja wa CCM umejengwa juu ya Hofu, fedha na Hila?
Nani asiyejua kwamba Umasikini wa Tanzania unatokana na hatua ya CCM kuuza nchi kwa Maghaibu?

Unaongea viongozi wa CHADEMA kuisadia POLISI polisi ipi? Hii PoliCCM?????

Tangu lini kesi ya ngedere mwizi wa mahindi ikafanyiwa upelelezi na nyani ambaye naye pia ni mwizi wa mahindi??

Kabla ya kutudanganya sisi, mmejidanganya wenyewe kwa miongo mingi.
 
Forum statistics

Threads 1,272,646
Members 490,095
Posts 30,455,941