Viongozi CCM Mtaua Wenzenu Kwa Njaa

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,792
71,206
Hakika huwezi amini. Mheshimiwa Muhongo na viongozi wenzake wawili kama wanaweza kupiga nguna yote hiyo na kuondoka wanatembea bila kuyumba.
Lakini sii kuua wengine kwa njaa katika hali hii?
IMG-20180714-WA0017.jpg
 
Sema watakuuwa wewe!
Wengine wote mambo ni fresh kabisa walahi!
Hebu jitathmini tena ndugu yangu!
 
Kule kwetu sukumani hao jamaa wamejaribu tu kula!..
Unakutana na ugali ukiupigia hesabu huku mjini ni utaula week nzima lakini wazee wameutenga mchana tu mboga mrenda!.
Acha watu wa ukanda ule tuwe na miili mikubwa, si kwa bajeti ya chakula inayotembelewa kule aseh!..
 
Back
Top Bottom