Viongozi bora wa Afrika siku zote

Viongozi bora wa Afrika siku zote

1: ........!!!????!!!
2: Sani Abacha - Nigeria
3: Marcias Nguema - Equatorial Guinea
4: Idd Amin Dadaa - Uganda
5: Samuel Doe - Liberia
6: Mobutu Seseseko - Zaire
7: Jean Bedel Bokassa - CAR
8: John Voster - South Africa
9: Robert Mugabe - Zimbabwe
10: Mathieu Kerekou - Benin

The worst African leaders ever; namba moja nimewaachia mjaze wenyewe!!

Gaddafi
 
8c2d8dc837938dc95306fb3093bd095d.jpg

Huyu mm ndio amenichanganya kidogo. Mbona alijipachika vyeo vingi sana.
 
huyo wa ethiopia mi ndo chalii yangu,cheki alivyokaa kisela,huyo anaonekana ukienda tofauti naye hata kibao hadharani anakukata,yupo ki-culture sana,kweli huyo ni Mfuasi wa JAH
 
Ukiweka orodha ya Viongozi bora Africa bila ya Kumtaja Mstahiki Dr. Fundi, Basketballer Mwanamtandao, Amiri Jeshi Mstaafu Dr. Prof Jakaya Mrisho Kikwete ni Uhayawani wa Kiwango cha Lami!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni uchochezi wa wazi kabisa.

Ngoja nizidi kuchochea...alikuwa kiongozi 'handsome' kuwahi kutokea.
Si alishinda na tuzo kabisa?
Au nimesahau nini?[emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni uchochezi wa wazi kabisa.

Ngoja nizidi kuchochea...alikuwa kiongozi 'handsome' kuwahi kutokea.
Si alishinda na tuzo kabisa?
Au nimesahau nini?[emoji12]
Na yule mzee alikuwa anapenda sana kupiga misele kama kunguru.
Kipindi kile utasikia Leo yupo madaska Mara kesho yupo uholanzi keshe kutwa yupo marekani. Ila marekani ndio alikuwa anapapenda sana na enzi zake haijawahi kupita mwezi hajaenda marekani.
 
Labda ulikuwa hujazaliwa Enzi za akina Marie Ngouabi, Abdel Nasser, Kenneth Kaunda, Houwari Boumadiane, Jerry Rawlings, Seretse Khama.....watu waliokuwa safi wenye msimamo na kuziinua nchi zao. Wewngine hata walitoa mchango mkubwa kwa ukombozi wa Afrika: Kaunda, Boumadiane, Abdel Nasser.
 
Hii ndio list yangu
1. J.K Nyerere
2. Haile Selasie
3. Kwame Nkurumah
4. Patric Lumumba
5. Nelson Mandela
6. Samora Machel
7. Jomo Kenyata
8. Robert Mugabe
9. Thomas Sankara
10. Muamar Gadafi
Mitindo huru,waondoe haraka sana Gaddaf na Mugabe.Gaddaf ni dikteta aliua wapinzani na kuwazika kwenye makaburi ya halaiki.Alitamani atawale yeye tu kana kwamba Walibya wengine hawana akili.Ona sasa Libya haitawaliki tena ni vita mtindo mmoja na maelfu ya watu wameuawa na wengine wamekuwa wakimbizi,Asingebadili katiba Libya ingekuwa na amani hadi leo kwa hiyo huyu hafai hata chembe moja.Mugabe nae ni king'ang'anizi kwani hiyo nchi haina watu wengine wakutawala? Viongozi ving'ang'anizi wote hawana sifa ya kuwa viongozi bora.
 
huyo wa ethiopia mi ndo chalii yangu,cheki alivyokaa kisela,huyo anaonekana ukienda tofauti naye hata kibao hadharani anakukata,yupo ki-culture sana,kweli huyo ni Mfuasi wa JAH
si mfuasi ila ndo Jah Mwenyewe, His Imperial Majesty (HIM) ,Emperor Haile Sellassie (Ras Tafari Mackonnen) ..Hail HIM!
 
Mandela kwangu atabaki kua namba moja akua na visasi ndo kitu ambacho kitambeba akuweka watu vizuizini Mandela kwangu atabaki kua Rais wangu wa kwanza Afrika
Unahitaji kuchimbua zaidi Historia ya Mandela na alichowafanyia watu wake.....hawezi kabisa kuwa namba moja kama unavyo sema....huwezi kumlinganisha hata na Gadafi .....JK Nyerere amemzidi mbali sana ktk mchango wake kwa Africa..
.kumbuka Mandela hana mchango nje ya South Africa
 
Mtazamo binafsi: Viongoz bora wa Africa ni wale kabla ya Africa kutawaliwa kwakuwa waitumia mifumo asilia ya kiafrika katika kutawala na kuongoza watu wake lkn sio mifumo hii ya kikolon hata kudescribe kuwa kiongoz yup ni bora ni uongo tuu na uongoz huu wa kugoogle na kusoma vitabun vya hao hao waliotugawanya kwanzia kidin mpaka kiuchum mpaka kifikra.
 
si mfuasi ila ndo Jah Mwenyewe, His Imperial Majesty (HIM) ,Emperor Haile Sellassie (Ras Tafari Mackonnen) ..Hail HIM!

Haaaaaa,ndio JAH mwenyewe huyo,daaah ngoja nimpigie magoti,ndio maana nimemkubali
 
Back
Top Bottom