Mgboss
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 497
- 279
Hawa ni viongozi bora wa Afrika ninaowakubali hadi leo.
10. Ellen Johnson-Sirleaf.
Rais wa 24 wa Liberia, alizaliwa tarehe 29 October 1938. Rais wa kwanza wa kike barani Afrika, ameiimarisha Liberia baada ya vita vya wenyewe nchini humo, mwaka 2011 alishinda tuzo ya Nobel
9. Samora Machel
Rais wa kwanza wa Msumbiji, alizaliwa tarehe 29 September 1933 alifariki tarehe 19 October 1986.katika ajari ya ndege.
8. Jomo Kenyatta
Rais wa kwanza wa Kenya aliyeisaidia Kenya kupata uhuru, aliweza kuiimarisha Kenya jatika sekta ya uchumi, alizaliwa mwaka 1891 na kufariki mwaka 1978.
7. Thomas Sankara
Rais wa Burkinafaso kuanzia 1983 hadi 1987 pia unaweza ukamuita "African Che Guevara", alizaliwa tarehe 21 December 1949 na kufariki tarehe 15 October 1987.
6. Patrice Lumumba
Alikuwa waziri mkuu wa Democratic Republic of Congo (DRC) aliisaidia Congo kupata uhuru dhidi ya Wabelgiji, alizaliwa tarehe 2 July 1925 na kufariki tarehe 17 January 1961.
5. J.K Nyerere
Rais wa kwanza wa TZ, alizaliwa tarehe 13 April 1922 na alifariki tarehe 14 October 1999. Ni Rais aliyesaidia nchi nyingi za Kiafrika kupata uhuru na kuziunganisha nchi mbili kuwa TZ.
4. Haile Selassie
Former Emperor of Ethiopia (23 July 1922 -- 27 august 1975) Aliweza kupambana na uvamizi wa Waitalia na kuisaidia Ethiopia isitawaliwe na wakoloni, alisaidia kuundwa kwa OAU na kuifanya Ethiopia kuwa charter member wa UN.
3. Alpha Oumar Konaré
Rais wa tatu wa Mali kuanzia 1992 hadi 2002, aliweza kuukuza uchumi wa Mali na kuimarisha demokrasia pia alikuwa mwenyekiti wa OAY kuanzia 2003 hadi 2008, alizaliwa tarehe 2 February 1946.
2. Kwame Nkrumah
Former President of Ghana (18 September 1909 -- 27 April 1972) ni muasisi wa OAU na AU na msemaji wa Pan-Africanism.
1. Nelson Mandela
Alizaliwa tarehe 18 July 1918 na kufariki tarehe 5 December 2013, Rais wa kwanza wa South Afrika aliyesaidia SA kupata uhuru kamili dhidi ya Wadachi na alipinga vikali ubaguzi wa rangi, alishinda tuzo ya Nobel.
[emoji442] [emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji446] [emoji447] [emoji448] [emoji448] AFRICA UNITE[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji446] [emoji447] [emoji448] [emoji449] [emoji450] [emoji441]