Viongozi bora Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi bora Afrika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by simplemind, Sep 11, 2012.

 1. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,475
  Likes Received: 2,350
  Trophy Points: 280
  Afrika imekuwa na uhaba wa viongozi makini kipindi kirefu. Hata hivo pamoja na uhabu wa vingozi bora katika historia fupi ya kujitawala pametokea vingozi wachache wa kupigiwa mfano. Nadiriki kuwataja wafatao top six.
  - Nelson Mandela
  -Julius Nyerere
  -Seretse Khama
  -Kwameh Nkurumah
  -Meles Zenawi
  -Paul Kagame
  -Thomas Sankara
   
 2. i

  iseesa JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MUONDOE Kagame kwenye list. Ni mtendaji lakini MUUAJI
   
 3. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  jakaya kikwete dr
   
 4. a

  alph Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kagame ni best of the best Africa. Kwangu Mimi the end justifies the means. Rwanda imetulia maisha ya wananchi ni safi, hakuna Wizi wala ujambazi watu Wana amani, elimu, afya, miundombinu, makazi vyote ni vya kiwango. Bajeti ya Rwanda ni Kubwa kuliko Tanzania ingawa Rwanda inalingana na Wilaya ya Kahama. Kagame safi sana
   
 5. Blue G

  Blue G JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2013
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 4,864
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ghaddafi hujamuweka mkuu.
   
 6. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2013
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,212
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Oops!
  Kweli Kagame anafanya vizuri ktk domestic affairs particularly kwenye suala zima la kukuza uchumi wa Rwanda. Ebu niambie, amefanya nini upande wa External Affairs?
   
Loading...