Viongozi arusha wamsusia lema

Mary Chuwa

Senior Member
Feb 24, 2011
177
40
katika Gazeti la Tanzania Daima tarehe 28 February 2011kuna taarifa kuwa viongozi wa serikali ngazi ya wilaya na mkoa wamesusia halfa iliyoandaliwa na Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CDM kwa ajili ya kukabidhi misaada ya ada na bima ya afya kwa watoto wapatao 400 kutoka katika kata za Manispaa ya Arusha,ambao wazazi na walezi wao hawajiwezi kimaisha.
 
watajijei jei!!! hii inaonyesha jinsi gani uchawi unawasumbua! Mh lema aling'aa sana na nyuma yake falgi la cdm lilikuwa linapiga si mchezo!!!

nadhani umefika wakati wakubali kubadilika! chadema hatuna siasa za chuki wala visasi! waiteni waje wajiunge zasi! mbona sophia simbaa kaanza kuonyesha dalili?
 
Hao wanaoitwa viongozi wote ni wasanii tu. Ni move ya aibu sana, unaweza kukuta ni chama cha mafisadi wamewaamuru wasihudhurie wakidhani kuwa watamuumiza kisaikilojia mbunge wa watu
 
Hao viongozi si wa CCM ? Hawathubutu wanaogopa kuzomewa . Wanajiona wanyonge mbele ya peoples maana hiyo ndio ilikuwa kazi yao iliyowashinda. Bravo Lema ,
 
who cares?
kinachotakiwa ni misaada kukabidhiwa, period.
walete pua zao ama la, misaada itakabidhiwa...alaaa!
 
Hapo mafisadi wamechemka....Bora wamehudhuria maana hivi ndo wanazidi kujipalilia makaa 2015 hata mmoja harudi HAKIYA NANI!
 
Back
Top Bottom