Dickson Mseti
Member
- Sep 3, 2012
- 8
- 0
Mara kadhaa viongozi wetu wametumia lugha ya kiingereza isivyo. Matokeo yake wanajidhalilisha na kutuvunjia heshima kama taifa.Hivyo bila kujali ni vyema wakatumia lugha yetu ya Taifa ambayo wataonekana wazarendo zaidi na kueleweka zaidi.Rais wa urusi japo anakijua sana kiingereza,daima huzungumza kirusi akihojiwa