Violet Mzindakaya mwepeeeeesi

Ingawa heading ya thread na kilichoandikwa naona ni tofauti, anyways.... Tanzania ni moja ya nchi 5 masikini duniani, hata hilo nalo ni la kubisha?? Waende zao bhana!

 
Ingawa heading ya thread na kilichoandikwa naona ni tofauti, anyways.... Tanzania ni moja ya nchi 5 masikini duniani, hata hilo nalo ni la kubisha?? Waende zao bhana!

hili neno ni very common hapa JF
 
Jamani mnamsema vibaya huyu binti hamuogopi kulogwa.!!? Shauri yenu.. Dada Violet wewe ni jembe mbaya (naogopa kulogwa nikimponda) kwi kwi kwi!!

Hv huyu ndo yule alikuwa taimz efuem??
 

Kwenye Red, utendaji MZURI wa sirikali ya CCM umesababisha baadhi ya makampuni makubwa ya meli duniani hayapakii mizigo ya kuja TZ kwa sababu ya ucheleweshaji wa upakuaji bandarini ambapo meli hukaa muda mrefu sana kabla ya kupakuliwa mizigo.
CCM wanaweza kusema ni uongo na kupakaziwa, wana JF hebu jaribuni kuuliza kwa watu huru waliopo bandari ya dar kuthibitisha ukweli huu. hiyo hali ngumu ya maisha TZ kwa kiasi kikubwa inasababishwa na uongozi huo Mzuri wa ccm. kama ccm isingekuwepo na uongozi wake labda wengine wangeongoza tofauti na kuifanya bandari yetu iwe ni lango la biashara la ukweli na kuwa chanzo kikubwa cha fedha za kigeni kwa taifa letu.

CCM itangulie tu kuungana na wenzake marehemu wa Zambia na Kenya
 
Reactions: FJM


...mkuu, nakuhakikishia kuwa hapa umenisisimua si vidogo! Koti linaning'inia hewani!? You cannot beat those nyinyiM and you definitely cannot join them. Mkuu lakini wengi utakuwa umetuacha gizani. mimi umeniacha gizani. Hii ilikuwa wapi na lini? na huyu mkuu aliyemalizwa kwa kupinga masuala fulani ni yule wa mwaka 1984 kati katiya Dom na Mor?
 
asigwa you have made my day nimecheka sana best. so she has nothing to tell
 
Last edited by a moderator:
cha msingi tukusanyike kwa wingi jangwani leo tar 9/6/2012 tusikilize , tukiwa wasikivu ndipo tunapata wigo mpana wa kupembua hoja za wachaga na hizi za magamba zipi zina mashiko

mtu hakatai wito anakataa maneno
 
Hivi baba ake ule mkopo aliodhaminiwa na BoT alisha anza kulipa? Maana kimbunga cha 2015 kitazoa wengi
 

Huyu anajikomba komba apete kacheo lakini Magamba wamemshtukia anakiherehere mno
 

dah....!!!!!! aisee umenikosha sana na ulichokiandika hapa........no coment
 
rwanda wanasonga mbele hawana resources kama sisi wao wapo dunia gani?mwaka 1990 tulikua sawa kila kitu na singapore
 
Napenda mabandiko yenye hoja nzito kama la Ndugu yangu JokaKuu limetulia kweli kweli.

CCM haiwambii wananchi dhahabu iliyoanza kuchimbwa kipindi cha Mkapa imewasaidiaje wananchi/Taifa.

CCM ituambie wananchi gasi inayochimbwa mikoa ya kusini inawasaidiaje wananchi mbona kila kukicha afadhali ya jana.

CCM ituambie magari ya kifahari L/Cruiser VDJ 200 ,L/Rover Puma,Nissan Y61/TD 42 yanasaidiaje wananchi kupunguza umasikini.

CCM ituambie kwanini bodi za mashika mengi ya umma hazifanyikazi zake kwa mujibu wa sheria badala yake mawazi wamejitwika kazi za bodi.Mfano mzuri ni kitendo cha Waziri wa Uchukuzi Dr H Mwakyembe kuwasimamisha kazi mkurugenzi mkuu na mameneja wa fedha,sheria na ununuzi wa ATCL.Waziri wa maliahasili na Utalii kuwasimamisha kazi mameneja wa Hifadhi ya Serengeti samabamba na walinzi 28.Unaweza kushangilia waziri kawajibika lakini tujiulize waziri mzima anawasimamisha kazi walinzi ?Nijuavyo mimi walinzi ni wafanyakazi wa kada ya chini sana hawawajibiki hata kwenye bodi ya TANAPA.Kama Bodi za mashirika ya umma hazifanyi kazi iliyokusudiwa kwanini ziwepo.

CCM iwaeleze wananchi imeuza ardhi ya waTanzania kwa wageni [lease 99 years] faida na hasara za muda mfupi na mrefu.

CCM iwaambie wananchi faida za kuwa na waziri asiye na wizara maalum.

CCM ituambie mpaka sasa ni watuhumiwa wangapi wa kashfa za RICHMOND,EPA,Deep Green,Meremeta wamefikishwa mahakamani.

CCM ituambie mawaziri walifukuzwa katika baraza la mawaziri kwa kashfa mbali mbali lini watafikishwa mahakamani.

CCM ituambie muungano baina ya Zanzibar na Tanganyika umeandikwa kwenye msahafu gani ?.Kwanini tunalazimisha muungano.

 
Haya mambo ya kuufanya uongozi kuwa ni "haki ya kuzaliwa" yatawatokea puani siku za karibuni.
 
Huyo lazma aongee sn coz mtaji wake mdomo na hao sisi moko ndo wanamuweka mjin pia father wake si ndyo ana kashfa ya ufisad rukwa bwawa la kutumia wanakijij kalimiliki yeye anaogopa 2kiwapiga chin wote mahakaman cku zao znahesabika tunaweza tusifike 2015 tukawa tushawatoa na hlo jengo la makao makuu mtatujb chama kimepata wap hela za kujenga ghorofa kama hlo
 
...Yaani mimi nitakuwa mtu wa mwisho kumsikiliza huyu dogo ! Yaani nikikumbuka, basi tuu kwa heshima ya rafiki yangu Simon Mzindakaya ngoja nikae kimya !!
 

Wa kikao cha dharura!! Got is now!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…