Kuna mtumiaji mitandao Tanzania ambaye anafahamika kwa jina la "Viola mtetezi" ambaye alijipatia umaarufu kwa kuweka maudhui ya kuwatetea wanaume mitandaoni.
Lakini siku za hivi karibuni Viola amekuwa akiweka maudhui ya No Reforms No Election kwenye akaunti zake.
Wapo baadhi ya wafuasi wake wanasema anakosea kuweka maudhui ya kisiasa kwenye akaunti zake wengine wanasema anapatia.
Jee viola mtetezi yupo sahihi au anakosea.
π
View attachment 3372988
Msikilize hapa!