For sure π wengi wetu tungekua hatupo Tena humu ndani.
Kuna police department ya kufanya DORIA MTANDAONI so ikimpendeza anafanya kile utashi wake utakavyo ona Ina mpendeza ama inafaa
Binafsi Mimi napitaga kimya kimya Kama naaga maiti kwenye Facebook, Instagram,X, YouTube Si comment chochote