Kigogo ameshatoa taarifa kwamba yuko salama ila aliacha kutumia laini ya simu na simu ya awali kwa usalama wake baada ya kuanza kupokea vitisho kutoka kwa 'wild wolves'
Ni matahira kidogo basi hawana hoja wala sera za msingi kama wapinzani wa nchi nyingine hawajui waanze na nini na waamalize na kipi bali ni matusi,vijembe,wivu,nk kwa pesa za upinde,familia yake imutafute watampata tu si alikuwa kazini bwana