vioja vya makonda wa daladala jijini Dar

vioja vya makonda wa daladala jijini Dar

sunshine1

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
539
Reaction score
294
Hii nimeikuta mchuzi. Inachekesha ila ina ka ukweli ndani yake!


Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za yesu.."Konda: "Vunga wewe, Yesu bado hajatoa album..."

********************************Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda tu!?"Konda: "We taahira nini,hao wengine wamekaliandoo?! "

*******************************Abiria: "Embu punguzeni sauti ya redio..."Konda: "Sheria za nchi tu ziko za kutosha, tusikilize na zako!?"

*******************************Mmama: "Bwana ondoa gari joto sana!!"Konda: "Uctuzingue wewe,shuka upande fridge...."

******************************Konda: "Anti, kuna siti pale nyuma,ingia...." Anti: "Siwezi kaa siti za nyuma..."Konda: "Kwenda zako wewe, sio muendaji!!! Kwani za nyuma ziko nje ya gari?!"

******************************** Sister duu: "Konda unanibana bwana..."Konda: "Zinabanana ndizi haziongei, kama ulitaka kujiachia si ungekodi treni pekeyako!!!"

*******************************Sharobaro: "Kuna kiti?!kama hamna sipandi..."Konda: "Mpuuzi kweli, wa wapi wewe... Kama ulikuwa unaogopa kukosa kiti si ungebeba chako?
 
tumblr_kyf2dgeIQH1qat0kfo1_400.gif
 
konda ana mdomo mchafu sana huyo sidhani kama huwa anapiga mswaki
 
ha,ha,ha,haaa... Nimeikubal ya yesu dah! Kwel wamepinda
 
Kama vile ume log in face book! yaani huwa na enjy sana hasa mwisho wa mwezi.
 
Back
Top Bottom