Vinywaji vinavyochochea kufanya mapenzi!!

Vinywaji vinavyochochea kufanya mapenzi!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Habari zenu wana-MMU,.

Mimi binafsi ninapotumia Konyagi na kuchanganya na soda ya Sprite hamu ya kufanya mapenzi huwa inanijia kwa kasi sana,.

Je wewe ni kinywaji gani hasa unapokitumia kinakupelekea kupata hamu ya kufanya mapenzi;..
 
Mafirauni bwana........!!! Hii mada ilishagazungumzwa siku nyingi sana humu... Hebu fukua fukua utaipata... Then twenzetuni juu la siasa jule kwanza tukapasue kichwa
 
Maji ya kunywa ya Ndanda drinking water.....
 
fanta ! hatari kwel@the analyst, God bless you
 
Habari zenu wana-MMU,.

Mimi binafsi ninapotumia Konyagi na kuchanganya na soda ya Sprite hamu ya kufanya mapenzi huwa inanijia kwa kasi sana,.

Je wewe ni kinywaji gani hasa unapokitumia kinakupelekea kupata hamu ya kufanya mapenzi;..

kuna mshikaji mmoja alidanganywa na jamaa zake achanganye red bull na Konyagi, mapigo ya moyo yalikua yanaenda mbio kama Ferrari na wewe danganya wenzako hapa... mtakufa.. suala la mapenzi ni hisia tu
 
Duuuh! Kazi kweli kweli, wengine tunataka za kutoa kabisa hamu kumbe wengine mnazitakaaaa!! Sinywi pombe ila nikiambia hata inayoondoa kabisa yani hata nisikumbuke ntakunywa maana ni shidaaaa
 
jaribu kwanza kunywa supershafti! haina nguvu kiviiile!!
 
Back
Top Bottom