Ving'amuzi vya Zuku ni anti-mvua

Ving'amuzi vya Zuku ni anti-mvua

Imekuwa inatokea mara kwa mara kwa hivi ving'amuzi vya Zuku kila mvua inyeshapo hasa iwe na upepo /radi au mvua kubwa basi vinakuwa ni kukwama hadi basi, ni kama upo disco ambapo DJ ana scratch Cd , kweli inaudhi sana,hao mafundi wao nao ni kutaka fedha tu hakuna wanachokifanya,kwa hakika kwenye msimu wa mvua kama hizi za masika ,ni kuwa hela yetu inaliwa bure bila kupata huduma stahili kutoka kwa hawa Zuku, hata CC yao ni ya hovyo hawajibu chochote simu zinaita tu zingine zinaenda kwa watu wa mitaani,sijui na wanaotumia DStv huu ujinga upo?

wale wanatumi KU Band ... ku band ina nature ya kusumbuliwa na mvua ama ukungu... Hata imgekua dstv n same problem... But vnasurvive kwenye upepo.. Hyo n kawaida dont blame em..!!!
 
ninashukuru kwa ufafanuzi wako mzuri maana engi tulikuwa hutujui tunadhani ni tatizo la kampuni kumbe ni tataizo la mfumo wa ku band.
 
Back
Top Bottom