M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 327 Reaction score 63 Apr 15, 2012 #1 Habari wanaJF? jamani mi naomba mwenye uelewa kuhusu package,bei,channels for each package anijuze tafadhali...!
Habari wanaJF? jamani mi naomba mwenye uelewa kuhusu package,bei,channels for each package anijuze tafadhali...!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Apr 15, 2012 #2 tafuta humu jamvini lilishaongelewa hilo kuhusu package ingia hapa ZUKU - Satellite TV, Cable TV, Broadband, Voice, Triple Play halafu sio zouk ni zuku sawa mkuu..
tafuta humu jamvini lilishaongelewa hilo kuhusu package ingia hapa ZUKU - Satellite TV, Cable TV, Broadband, Voice, Triple Play halafu sio zouk ni zuku sawa mkuu..