Hii mambo ya milingoti na digitali wapi na wapi?
Startimes wanasema ukiona king'amuzi hakishiki vizuri unatakiwa kuongeza urefu wa mlingoti, haya mambo ndo yamepitwa na wakati!
TCRA ni bora iwaambie wananchi wanunue decoder na dish za free channels ambazo hazisumbui na ziko stable.
Ndo maana mi nimeamua nibaki na kitu cha DStv changu, sina tatizo na mtu mwaka wa sita huu! Watoto watakuja kudondoka juu ya mapaa bure eti kisa unatafuta mwelekeo wa kisarawe!
Unatoka kazini kusaka mishiko, unafika home unawasha TV ili ujiburudishe na viuno vya shilole, unaanza kuona scratches na mapumziko yako yooote yanaharibika.
Kama serikali haitokubaliana na DStv kuongeza local channel, basi mi habari za bongo ntakuwa nazipatia JF na kwenye social media zingine lakini siko tayari kuweka takataka nyumbani kwangu.
Mimi si mwajiliwa startime wala TBC na wala si promo sababu sifanyi nao biashara nia kutoa kile ninachokijua kiufundi nawe kikusaidie si unahitaji kuona. ni jibu lako Mduu/mamaya.
Mkuu umenena ila inategemea mazingi DSTV sio wengi wenye kuimudu humuHii mambo ya milingoti na digitali wapi na wapi?
Startimes wanasema ukiona king'amuzi hakishiki vizuri unatakiwa kuongeza urefu wa mlingoti, haya mambo ndo yamepitwa na wakati!
TCRA ni bora iwaambie wananchi wanunue decoder na dish za free channels ambazo hazisumbui na ziko stable.
Ndo maana mi nimeamua nibaki na kitu cha DStv changu, sina tatizo na mtu mwaka wa sita huu! Watoto watakuja kudondoka juu ya mapaa bure eti kisa unatafuta mwelekeo wa kisarawe!
Unatoka kazini kusaka mishiko, unafika home unawasha TV ili ujiburudishe na viuno vya shilole, unaanza kuona scratches na mapumziko yako yooote yanaharibika.
Kama serikali haitokubaliana na DStv kuongeza local channel, basi mi habari za bongo ntakuwa nazipatia JF na kwenye social media zingine lakini siko tayari kuweka takataka nyumbani kwangu.
Dstv zuku na madishi mengine haiisumbui mfumo wake wa upokeaji mawimbi ni tofauti na upokeaji kwa njia ya antena. Na hii hata kama makampuni yajayo yakile antena hata ving'amuzi vyao vitengenezwe ubora gani hali itakuwa hii ya startime antena ina umbali wa mwisho wa kukamata mawimbi kama fm radio. wakati dishi hukamata mawimbi yake yanayokuja kwa njia mbili vertical na horizontal kupitia satellite ni bora zaidi hata kama unaishi bondeni, angani au mbaali kijijini bado mambo ni bora.mkuu Jaim hv umeshasikia mtu wa dstv au zuku analalamika kwa habari za signal? Ukubali ukatae startimes wana matatizo kuanzia signal streng zao maana haziko stable na hazina ubora wa picha,na hata stasheni zao ni za kimburula..swala la ufundi hata kwenye Fta dish istalation nafanya mwenyewe na hata kutafusta signal strength,why star times iwe inasumbumbua sumbua.
Mkubali starehe garama ni vizuri unaponunua king'amuzi cha startime usiache kununua ile antena yao ni zaidi kuliko kutumia hizi antena zetu za sido. Zinakamata ila hazina mkadirio wa udakaji wa mawimbi. Ushauri wa kiufundi; wakati unaseti antena yako chukua limot yako nenda kwenye system seyteng, ipe "OK" vipengele vitakavyojitokeza nenda signal status upande wa kulia kutatokea mstari mi3 cheza na antena yako kwa kutumia mistari hiyo kuizungusha, kuiipandisha juu zaidi ama kuishusha mpaka ufikie viwango nitavoelekeza hapo mbele. Hakikisha mstari wa juu unapata %50 signal stregth. Huu mstari unakusaidi kujua ubora wa mawasiliano kuanzi waya wenyewe dacoder/Receiver. Kama kuna titizo conectin kati ya vitu hivi Mstari juu na kati haitaingia rangi kijani. Mstari wa kati signal Quality, huu ni mstari unaokuonyesha ubora wa upokeaji mawimbi, hakiki unapata kuanzia %70 na kuendelea. Mstari wa mwisho BER Huu ujitahidi rangi yote ya kijani ihame na unakuwa mweupe isome 1E-9 Nina uhakika picha utapa mzuri hakuna kukwama titizo la wengi ni la kiufundi mnatafutia signal kwenye picha ukipata chanel uliotegesha unajua zote zitashika kwa usahihi na hawa Startime costamer wao lazima mwenye uelewa hii kitu. Maana siku nimeenda kununu king'amuzi cha namuuli za kama kuna friquence za kuingaza kama receiver ya dish. Akanijibu mitambo yetu iko kisarawe. Si biasha ukikwama niemel nikusaidie ismaabby@gmail.com
Mimi siku hizi nimeachana na mambo ya TV ni kuangalia Movie kwa kwenda mbele!
Je huko zanzibar na nyie mmejengewa mnara maana hii ni kama simu mnara kama uko mbali mawasiliano ni tete. Ila sijui mazingira huko zenje. Mbona kuna mtu anada huko kuna king'amuzi full machenal tv station zote bongo zimo na iko crea ni kweli hii.Niko zenji kwangu si shwari mpaka najuuta kuifahamu startimes -signal strengh 57-63%,quality 12-17% hiyo sijui bering something like 4E ...! vp ndio ninunue antenna yao?:A S angry::confused2:
Hata mimi nawashangaa ambao ving'amuzi vyao vinakwamisha picha. Hebu chezeni na remote zenu kwenye settings kuhakikisha signal strength & quality inachezea walau 60%, hamtalalamika tenaSiku zote naona watu wanalalamika humu jukwaani lakini mimisijawahi kuona tatizo lolote la king'amuzi hiki nakitumia kizuri sananaburudika sana, nilinunua cha kwanza mwaka juzi nimempa shangazina kinafanya kazi vizuri, mwaka jana mwishoni nimenunua hiki cha 39,000nacho kimetulia sana yaani safi sana. Kama muna mipango ya hujumaza kibiashara hebu wekeni wazi wakuu.
mkuu Jaim hv umeshasikia mtu wa dstv au zuku analalamika kwa habari za signal? Ukubali ukatae startimes wana matatizo kuanzia signal streng zao maana haziko stable na hazina ubora wa picha,na hata stasheni zao ni za kimburula..swala la ufundi hata kwenye Fta dish istalation nafanya mwenyewe na hata kutafusta signal strength,why star times iwe inasumbumbua sumbua.