Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
Mkuu umenena ila inategemea mazingi DSTV sio wengi wenye kuimudu humu
ila Dishi la free chanel kwenye nyumba yako mkuu kwenye nyumba ya kupanga kule uswazi ni ngumu kidogo tunaomba makampuni mengine iwe rahisi itume antena za ndani tu lakini kinyume hapo mambo yaleyale tu.
DSTV wana package tofauti tofauti (ya chini kabisa ni ya kawaida kabisa haivuki wekundu wawili, tatizo lao local channel ndio chache unapata TBC tu). Pia ni kweli kwamba dish mpaka uwe kwako au uwe umepanga nyumba nzima though dish moja kuna namna ya kufanya mkatumia watu zaidi ya mmoja.
Kwenye blue hapo nilichojifunza kwamba ile mikoa ambayo ilikuwa imetengwa na huduma ya matangazo ya analojia wamekuwa wabunifu kweli na wamejikuta wapo digitali automatic maana matumizi ya madish na cable operator imekuwa ni utaratibu wa kila siku kwani free transmission ya kuweka antena walikuwa hawana signal but through satelite wameweza ku-access signal through dish. Wenye mtaji ni uwanja mzuri wa kutumia fursa hii kuanzisha kutoa huduma ya cable hata kama utaanza na wateja 30 (mkoa kama Mwanza unaongoza kwa huduma hii na wananchi wamekuwa waki-enyoy kwa chanel zaidi ya 80 ikifuatiwa na mikoa kama Mara, Bukoba na arusha baadhi ya maeneo)