Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,325
Hiyo camera inachukua chumba kizima mpaka gizani? Camera inamuelekeo ya kig'amuzi haina?
Kuna Camera za 360 equiped with Night Vision,Ila kwa ving'amuzi hivi vyetu havina camera kabisa.
Hiyo camera inachukua chumba kizima mpaka gizani? Camera inamuelekeo ya kig'amuzi haina?
Atakuwa sda
Mh uongo! Kujua idadi ya wa tz mbona si wa tz wote wenye uwezo wa kununua LG TV?
Km nu kwa lengo la kujua idadi ya wateja wao mbona ktk form uliponunulia na pia ktk initial setup huonesha tv inatumika nchi ipi, je hapo hawawezi kujua idadi ya tv ziluzouzwa nchini?
Mkorintho.......huyu shahidi Yehova
ajabu sanaUna matendo gani maovu kiasi kwamba unafikia hatua kuogopa kuwasha king'amuzi?
hiyo camera ya kwenye king'amuzi ina upload vipi picha kwenda kwa CIA?
Hivi huyo rafiki yako anafahamu kuwa anything called " satelite Receiver " and the likes huwa inapokea tu na si kutuma mawimbi?
Next time tukinunua gadgets tujifunze walau basic concepts
Mkuu jamaa alikuwa anamfukuza kijanja maana alichoshwa na tabia ya mshkaji ya kwenda kuangalia TV kwake tena usiku
Yaan hapa niwazia kama kweli basi hamna siri tena