Voice of Mara
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 358
- 127
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?Mhe Vincent Nyerere mbunge wa Musoma mjini ambye ni moja wa familia ya Mwl Julius Kambarage Nyerere amevunja ukimya na kunena juu ya sakata iliondikiwa na magezeti mawili ya kila siku ambyo ni jambo Leo pamoja na majira.hii imetokana na ziara alio ifanya Mnyika na baadaye Zitto pia katika makumbusho ya Butiama pamoja na kuonana na Mzee Wanzagi.soma.........alisema
Mhe vincent nyerere Nina bahati ya kutoka kwenye ukoo ulio neutral kabisa ki siasa, kila mwana siasa wa Chama chochote kwenye ukoo wetu ana haki Sawa, ndugu zangu wapo CCM mie nipo Chadema, wageni wote wanapokelewa Sawa... Ninachukia kuona wengine wanawalisha Wana ndugu Kuwa wameombwa wengine wasipokelewe... Kwetu Hilo halipo.... NI VIZURI KUTOWEKA MANENO YA UZUSHI KUWA FULANI KASEMA MKIJA MSIPOKELEWE... Hakuna ukweli katika Hilo msemaji wa ukoo ni Chief Japhet Wanzagi Nyerere.... Kwa niaba yake tunawapenda wote
Pata like Mkuu!!Baadhi ya Magazeti(Uhuru, Majira, Jambo leo, Raia mwema, Mtanzania, Habari leo nk) hapa Tanzania ni sehemu ya taasisi zinazodaiwa kulipwa na wafadhili wa ACT ili kuipa attention ACT(Zitto) kwa kutumia nyota ya CHADEMA.
Hivyo wanatafuta kila angle ya kutaka kuonyesha kuwa CHADEMA wako busy kupambana na ACT wakati sio kweli
Kabisa.
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?
Mhe Vincent Nyerere mbunge wa Musoma mjini ambaye ni moja wa familia ya Nyerere amevunja ukimya na kunena juu ya sakata iliondikiwa na magezeti mawili ya kila siku ambayo ni jambo Leo pamoja na Majira.Hii imetokana na ziara aliyoifanya Mnyika na baadaye Zitto pia katika makumbusho ya Butiama pamoja na kuonana na Mzee Wanzagi.
Soma alisema Vincent Nyerere...
Nina bahati ya kutoka kwenye ukoo ulio neutral kabisa ki siasa, kila mwanasiasa wa Chama chochote kwenye ukoo wetu ana haki Sawa, ndugu zangu wapo CCM mie nipo CHADEMA, wageni wote wanapokelewa Sawa.
Ninachukia kuona wengine wanawalisha Wanandugu Kuwa wameombwa wengine wasipokelewe,Kwetu Hilo halipo.
NI VIZURI KUTOWEKA MANENO YA UZUSHI KUWA FULANI KASEMA MKIJA MSIPOKELEWE.
Hakuna ukweli katika Hilo msemaji wa ukoo ni Chief Japhet Wanzagi Nyerere.Kwa niaba yake tunawapenda wote.
Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?
Baba yake ni Josephat Kiboko Nyerere. Hilo ni jina la ukoo. Upo hapo?Huyu siyo mtoto wa nyerere kwanini hataki kutaja jina la baba yake?