Vinauzwa kama vilivyo

Vinauzwa kama vilivyo

Hahahaha...,
Naona bora avirudishe humo msongeni na zogo likipungua kwa hawa maBidder tutashauriana namna tena ya kufanya hiyo biashara, kwani hata huyo Auctioneer wetu naona hana uzoefu au ndio ile atazoeya mbere kwa mbere? [emoji36] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

NB,
Asirare navyo mbere kwa mbere!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapo imekosekana kata ya kuchotea maji mtungini. Vipi mkuu mshana jr hakuna kawa?
 
HIII NI DHARAU ILIYO KITHIRI , SIYO JAMBO JEMA HATA KIDOGO KUDHARAU MAISHA YA MWENZAKO KIASI HICHO, NA Naamini hao wanaoshabikia kama sio wao wenyewe basi ndugu zao wa karibu kabisa bado wanaishi maisha hayo
 
Mitazamo ni mingi
 
Sasa mi nafikiri kusudi la mnada ni njemba anahamia Dom ni shida kusafirisha... Mimi najitolea kuvisafirisha.... sema ni kiasi gani ili uende navyo ukaanzie maisha kwenye tembe lako!?...
 
Mshana jr nipo kilwa vp hizo bidhaa umekuja nazo huku au umeziacha kwenye min suprmarkert yako dar?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom