Vinapatikana kwa wingi mkoa gani hivi?

Vinapatikana kwa wingi mkoa gani hivi?

tutamu huto kagera moja kwa akina international disaster
 
18341913_363789657352376_958382595959366575_n.jpg
Mi nilidhani makweme yaliomenywa kumbe ni sandakalawe
 
Hahaha nimekumbuka mbali sana,juzi nilivipika huwezi amini kila mtu alivipenda Mbeya vinaitwa vibama,unga wa mahindi,ndizi mbivu mafuta basi ,ni vizuri sana
 
Back
Top Bottom