Vinakodishwa kwa mwenye uhitaji

Vinakodishwa kwa mwenye uhitaji

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapumbavu ndio wanahifadhi hayo matakataka,werevu tunajivunia ulizi wa bwana Yesu bila kuteteka na chochote.
mkuu katika watu ninao waogopa ni wale wanaoita Yesu Yesu na kutakiana amani ya Yesu kristo yan nawaogopa.
ngoja nikuambie ili nipate kupumua, kuna jamaa tunafanya naye kazi huku mtaani za uzoaji taka ni full time gospel songs na mistari ya bibilia na salamu yake ya kihuni ni za saa hizi.
kuna siku lilitokea sekeseke la kuzuia watu wasifanye kazi za uzoaji taka huku mtaani bila kibali cha manispaa kuwajua. yeye ndo akawa wa kwanza kuniambia mpendwa tumekatazwa kuzoa taka mitaani inabidi tuliweke kwenye maombi hili swala, mie nkamuamini ckufanya kazi kama siku tatu., siku ya nne wateja wananipgia simu wanasema mbona mtumishi anapga kazi kama kawaida. nkanyosha direct kwa serkali ya mtaa kuwaambia majanga. jibu nililopewa na mwenyekiti wa mtaa ni kwamba mtumishi kaja kasemea mbovu kuhusu utupaji wa taka.
aisee sikuamini nilmfuata nkamwambia akasema twende kwa mwenyekti kufika pale, mwenyekiti akaamua kusema yote aisee.

Mungu aoanaye sirini aturehemu. samahani mkuu Ndumilakuwili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom