Vinahitajika

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,135
Wakuu,

Kiwanda kipya cha chakula cha mifugo kinahitaji malighafi zifuatazo. Tafadhali leteni quotations (per tonne) mpaka kiwandani Dar es Salaam

  1. Mahindi
  2. Mashudu
  3. Dagaa vumbi
  4. Chumvi
 
wao ndio wanatakiwa waseme wananunua kwa shilingi ngapi?
Inapunguza mamiddleman
 
Kiwanda Kinaitwaje? Contacts zao?
 
kiwanda kinaitwaje?kipo Dar es salaam sehemu ganii?utaratibu wa kuwapelekea upoje?wananunua mashudu ya aina gani?.wananunua mahindi ya aina gani?wanalipaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…