Vin Diesel amefiwa

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,689
Reaction score
64,737
Salaam wana bodi,

Nasikitika kuwajulisheni kwamba Vin Diesel alifiwa na mtoto wa shangazi yake.
Kwa bahati mbaya zaidi ilipofika jana shangazi yake naye pia akafariki.

Tuungane na mwenzetu katika kipindi hiki kigumu sana kwake.

Nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:
Utiwe nguvu na Mwenyezi Mungu katika kipindi hiki kigumu kwako
 
Pole kwako mkuu Vin Diesel

Mungu akupe nguvu na imani katika kipindi hiki
 
Ndugu yangu vin pole sana kwa masahibu haya,Mungu akutie nguvu.
Mamndenyi naomba replica ya hii thread uipost chitchat,ma chitchatter si wote wanaingia mmu na vin ni mwenzetu CC,nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mkuu Vin Diesel kwa mapigo haya. Mungu akupe nguvu na uvumilivu kuyashinda
 
Last edited by a moderator:
Pole sana vin diesel, mungu akupe faraja ya kuvuka hiki kipindi kigumu.
 
Pole sana mpwa Vin Diesel...Mungu akujaalie faraja kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
daah... Pole sana kiongozi Vin Diesel ni kudra za mungu,, muhimu kuwaombea dua nasi tujiangalie mfumo wa maisha yetu maana tuko njiani
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana mkuu Vin Diesel

Inauma sana aisee.

Mungu awalaze mahali pema mama na mwanaye.:A S 103::rip::amen:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…