vimbaumbau vs vibonge(utaoa yupi?)

insta babe ww ukibonge umeupata lini kwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

alafu sitaki uniambie kuwa hadi sasa hivi unapokaa mvua hainyeshi
Insta babe nimenepa jamani

Hahahhaha mvua kwetu sasa hivi kila siku inapiga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeanza mambo zako kwahiyo haujaona kidogo nimeongezeka insta babe
hahaha.... yani nilivyorud kitu cha kwanza nilikunyatia kukuona... nikaona upo vilevile insta babe

sema tu umezidi kunona nahisi vyuma vilaini sana kwako [emoji23]
 
hahaha.... yani nilivyorud kitu cha kwanza nilikunyatia kukuona... nikaona upo vilevile insta babe

sema tu umezidi kunona nahisi vyuma vilaini sana kwako [emoji23]
Hahahahahaha bwana ebu rudi uninyatie tena nimeongezeka kiduchu

Hahahaha vyuma inabidi tupambane navyo hivihivi insta babe
 
Kama hii ni kweli Niko on way kuepukana fitina yaani ndizi tu ushasolve mgogoro
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23].... Nina kibonge mmoja nikichelewa kurudi tuu lazima niinunue kuku nusu na chips au ndizi na Serengeti light baridi, hata kama ni saa saba usiku ataamka kugonga....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wengi tupo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…