Vimande; Viagra ya kisambaa

Mshana - vina pikwa au ina vitu gani ndani ? sijawahi kusikia au kuona vitu hivi
Dona na ndizi mbivu vinapondwa pamoja kisha vinafungwa kwenye majani ya mgomba halafu vinachemshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…