Jamani sikuizi hawa jamaa mbona nimwanzo mwisho!!wanagonga menyu na kubanjua!!Maisha yenyewe yakowapi ya bongo kudanganyana na akina kikwete eti maisha bora.....etc Zamani tukiwa watoto waisilamu wakifikia mwezi wa ramadhan wanita watu hili wafturu lakini siku hizi wanfunga mlango wala ujui nisaangapi wamefturu!!kazikwelikweli.