Jamaa kakosa pesa kwa siku hio kaamua kutumia karatsi la nailoni kufanya kama pampas ya mtoto.
Mkewe amekasilika sana na kumchukia mmewe kisa tu anataka cha dukani cha kisasa.
Ukiwa mwanamke wa kukaa na kuletewa hela huwezi jua uchungu wa kutafuta. Natoa Rai kwa wanaume wenzangu tuwape hawa shughuli za kufanya ili nao wajue hela inasakanywa kwa jasho na damu. .
Kuna wanaume hawataki wake zao wafanye kazi au biashara.Wakati huohuo hao wanaume hawana uwezo wa kukidhi mahitaji ya familia.Katika hali Kama hiyo kwanini mke asichukie?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.